Harmonize Anapoelekea Atamzidi Ubora DiamondPlatnumz

nahisi aliyeandika huu uzi huwa anatamani kuufuta lakini daah anakausha tu na kaaibu kwa umbali.... sio kwa midundo hii ya INAMA na THE ONE
 
Umemaliza kila kitu. Ila watu wakishavizoea na kuona kawaida atapata tabu sana.

Mimi huwa nasema ushamba na uvivu wa watanzania ndio nguzo kuu ya mshkaji.

Watu badala ya kutafuta cent, wanafuatilia maisha ya watu ambayo hayana faida. Mwisho wa siku wanailalamikia serikali
 
Ashampita tayari harmonize ni level Nyengine aise .. never give up
 
Ni mpango mkakati wa WCB wasafi Kama lebo kuachiana nafasi ya kutamba Kama ilivyokuwa kwa mondi wakati anatoa album yake ya a boy from tandale,
then now ni harmonize Akimaliza konde boy then anafuata mwingine na mwingine kwa nafasi
so huu ni wakati wa harmonize,ukija muda wa album au EP ya Rayvanny mtamkataa harmonize na kumlinganisha Vanny boy na D'mond.
Jamaa wanazidi kuwashika wa TZ kwa mipango mathubuti Kama hio.
 
Hawalioni hilo watu,ila ndio ukweli wenyewe ,mwisho wa siku watabaki wao wenyewe na kushindanishwa wao kwa wao.
 
Naona mmeanza kuwa pambanisha wenyewe kwa wenyewe baada ya kukosa mpinzani Hahahahahahahahah
 
Mkuu hilo la kufuatilia maisha ya watu halipo tz tu..ni duniani kote

Hivi show ya kipuuzi kama ile ya kina Kardashian unajua ina watazamaji wangap? Unajua familia yao inavyofuatiliwa na hakuna hata la maana
?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…