kisokolokwinyo20
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 472
- 423
- Thread starter
- #61
Ujinga mtupu
Dudu la yuyu inamuweka chatini bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dudu la yuyu inamuweka chatini bado
Hapa nimekuelewa sana.hivi mnajua kwanini tamthilia zipo so addictive??????
Kuna kitu hamjajua kuhusu diamond.Diamond Ana mikakati mingi sana kuanzia uimbaji wake,collaboration zake, wanawake anaotembea nao,show zake yaani vitu vingi anavyofanya anafanya kwa sababu flani vingine Ni vya kipuuzi kabisa machoni pa watu lakini Mwisho wa siku vina faida kwake.
Harmonise anapita njia za diamond lakini bado ameshindwa kufika pale na hatafika etiii..
Ogopa sana mtu anayezungumziwa tumeona nguvu ya kuzungumziwa kwa Pierre likwidi.
Simba kila sehemu lazima umzungumzie kuanzia baba ake, watoto wake,ex zake,label yake,TV,radio,mama ake,mziki wake,scandal zake,wasanii wake,collabo zake,ujinga wake...saivi project mpya ya kijinga Ni kuhakikisha kuna vita kubwa ya maneno kwenye social network Kati ya uganda,tz na Kenya kuhusu mademu zake .....huu ujinga wote ndo unamfanya awe pale Sasa harmonise Ana ujinga gani???hivi mnajua kwanini tamthilia zipo so addictive??????
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kuwa makini unapotumia hilo neno,,nasikia cku hiz limepigwa maruku nchini 😂Kwahiyo WCB NI DHAIFU?
mkuu kuwa makini unapotumia hilo neno,,nasikia cku hiz limepigwa maruku nchini [emoji23]
Hawalioni hilo watu,ila ndio ukweli wenyewe ,mwisho wa siku watabaki wao wenyewe na kushindanishwa wao kwa wao.Ni mpango mkakati wa WCB wasafi Kama lebo kuachiana nafasi ya kutamba Kama ilivyokuwa kwa mondi wakati anatoa album yake ya a boy from tandale,
then now ni harmonize Akimaliza konde boy then anafuata mwingine na mwingine kwa nafasi
so huu ni wakati wa harmonize,ukija muda wa album au EP ya Rayvanny mtamkataa harmonize na kumlinganisha Vanny boy na D'mond.
Jamaa wanazidi kuwashika wa TZ kwa mipango mathubuti Kama hio.
Mkuu hilo la kufuatilia maisha ya watu halipo tz tu..ni duniani koteUmemaliza kila kitu. Ila watu wakishavizoea na kuona kawaida atapata tabu sana.
Mimi huwa nasema ushamba na uvivu wa watanzania ndio nguzo kuu ya mshkaji.
Watu badala ya kutafuta cent, wanafuatilia maisha ya watu ambayo hayana faida. Mwisho wa siku wanailalamikia serikali