kisokolokwinyo20
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 472
- 423
Kwa wale wapenzi wa Muziki wa Bongo flava na wanaofatilia kwa ukaribu watakubaliana namimi makeke ya huyu kijana wa Kimakonde kutokea WCB Label. Kwa kipindi cha Mwaka 2018 hadi sasa amefanya kazi kubwa ya kutoa zile zinazoitwa Hit Songs na Kufanya Collabo ambazo hajapotezwa na 'Ma-Superstar' aliowashirikisha.
Sasa hivi ana nyimvo ya Paranawe, Kainama na Show Me What You Got. Naona kabisa akiwaacha mbali wasanii wenzake wa WCB ndani ya miaka miwili ijayo akiendelea na moto huu.
Sent using Jamii Forums mobile app