herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
vise versa angetoa mmakonde then aje atoe Mond ingeonekama analeta ushindan ila kwa kuwa walianza wcb inaonekana kila mtu anafanya kwa muda wakeWe jamaa umeandika ili uwashindanishe sio? Acha uzwazwa wewe kila mmoja anafanya kitu kwa muda ambao unahisi ni sahihi kwake...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kuna utaratibu wowote kuwa msanii fulani akitoa wimbo basi na mwingine asitoe kwa wakati huo?vise versa angetoa mmakonde then aje atoe Mond ingeonekama analeta ushindan ila kwa kuwa walianza wcb inaonekana kila mtu anafanya kwa muda wake
Mkuu unajua ulicho andika au unasukumwa na chuki?Diamond hajawahi penda wasanii wenzake. Kama kweli alimpenda Zuchu hakutakiwa kutoa ule wimbo wa Quarantine maana amesababisha dogo wimbo wake unapotea
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Huyo jamaa anaonesha uchawi nje njeMkuu unajua ulicho andika au unasukumwa na chuki?
Hii dunia hutakiwi kuwa real.....unapaswa kuwa smartHivi kuna utaratibu wowote kuwa msanii fulani akitoa wimbo basi na mwingine asitoe kwa wakati huo?
Kila mtu ana mashabiki wake na kila wimbo una ujumbe tofauti na mwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo nini kifanyike uli kumshusha DiamondHata akisubiri wimbo wa diamond upoe kwanza halafu akaachia wake diamond anaweza kuachia hapo hapo akapoteana tena
Ayo mawazo yako yakushushana kila mtu anatafuta riziki kivyakeAkijifanya kutak kumshusha mondi ataootea apambane kivyake
Anawatoa sana povu hadi yule mnyakyusa rayvan nyegezi keshapotea sababu ya harmonizeIla konde boy sio mtu mzuri...diamond ajiangalie sana
Ashawatoa povuIla konde boy sio mtu mzuri...diamond ajiangalie sana