Harmonize anawekwa mjini na demu wa kizungu, aachana rasmi na Jackline Wolper

Hii tabia naona inashika kasi siku hizi! Hata hawaoni aibu. Badala ya kukemewa ndio kwanza inapongezwa.
Kuwa marioo ni bahati shekh sizani kama kila mwanaume ana hilo kazia
 
Kama wewe ni Mwanaume uwe unakaa mbali na "Posts" za WANAMUME, maana hata rafiki yako Elton John anao uume. Ukiona post ya Mwanamume pita mbali
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kwa mujibu wa Mange ,Harmonize amemwaga Wolper kisa Wolper ananuka K
 
Huyu binti anaaibisha sana watu wa kaskazini badala ya kutolea macho mapato yeye yuko na skendo za kuuza nyapu hivi haoni mfano kwakina IRENE KIWIA,NANCY SUMARY na mabinti wengine wa chuga wasio na upuuzi.
Hao uliowataja mkuu wanajielewa sio kama huyu mlevi
 
Harmonize is like Harmorappa WAMEFANANA SANA HAWA WAMAKONDE WA MASASI
 
K ikinuka inapoteza hisia matokeo yake badala ya kupiga sita unapiga 2
 
jamani watuu mbona shidaaa! Mmeomba usiku na mchana waachane ....mnapenda kumuona jack hana furaha
kiufupi ntamiss vile Harmonize alivyokuwa anamdekeza bibie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…