Harmonize anawekwa mjini na demu wa kizungu, aachana rasmi na Jackline Wolper

Harmonize anawekwa mjini na demu wa kizungu, aachana rasmi na Jackline Wolper

kama ni harufu mbona inatibika. Tuwasiliane 0768 100702 nitamtibu mwenyewe, tena bure.
 
Huyu binti anaaibisha sana watu wa kaskazini badala ya kutolea macho mapato yeye yuko na skendo za kuuza nyapu hivi haoni mfano kwakina IRENE KIWIA,NANCY SUMARY na mabinti wengine wa chuga wasio na upuuzi.
Kuuza nyapu si ndo chanzo cha mapato (Source of revenue)? ama? ndo mangi shop yake
 
Haki huyu bibi wa kichaga hata simsomi hivi unaanzaje kuachwa na harmonize?
Kwa mfano eti
Haiwezekani unachumbiwa au unaangia love na mtu unaishia kuachwa tu hii imekaaje
There are something behind
Si bure!
Unajua sikuelewagi ujue na zile skendo zile mhhh[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Na huyu bibi siku hizi kuna udaku kutoka kwa mange na clip za ushahidi kuwa kaonekana south africa
Hahahaha mume wa mtu ati
Ila mke wake gavana wa mkoa wetu jama ana moyo eti eeh
Au ndo yale ya "mume ana meno yanauma?"[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] Labda
Gavana nae simuelewagi haya wolper simuelewagi haya hapo vepeer
Teh teh natamani nipewe macho ya rohoni yakumulika uozo vitandani teh teh
Wolper olewa bibi we khaaa
Naskia harmo yupo na muzungu
Mzungu hoyeeeeee
Na wewe utulie sasa
 
Back
Top Bottom