Haki huyu bibi wa kichaga hata simsomi hivi unaanzaje kuachwa na harmonize?
Kwa mfano eti
Haiwezekani unachumbiwa au unaangia love na mtu unaishia kuachwa tu hii imekaaje
There are something behind
Si bure!
Unajua sikuelewagi ujue na zile skendo zile mhhh[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Na huyu bibi siku hizi kuna udaku kutoka kwa mange na clip za ushahidi kuwa kaonekana south africa
Hahahaha mume wa mtu ati
Ila mke wake gavana wa mkoa wetu jama ana moyo eti eeh
Au ndo yale ya "mume ana meno yanauma?"[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] Labda
Gavana nae simuelewagi haya wolper simuelewagi haya hapo vepeer
Teh teh natamani nipewe macho ya rohoni yakumulika uozo vitandani teh teh
Wolper olewa bibi we khaaa
Naskia harmo yupo na muzungu
Mzungu hoyeeeeee
Na wewe utulie sasa