Harmonize anazingua kinomah!

Al ndio application gani mkuu,hebu iandike vyema na sisi tutambe
Waambieni hawa wasanii makanjanja kuna AI, grammarly and other writing apps zinakuandikia kila kitu au kurekebisha grammar yako waepuke hizi aibu za reja reja. Hadi Ikulu inatumia mabandiko yaliyoandikwa by AI.
 
Hivi ni ....We were au ni We was? πŸ€”πŸ€”πŸ€”...

kilikuja na βœˆοΈβ›΄οΈ

We was ni sawa kwa american english

We were mostly ni formal english

Kkuna kingereza cha mtaani na cha shule ...tembeeni duniani muone na msikie mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…