Harmonize anazingua kinomah!

Harmonize anazingua kinomah!

Hata huyu dada kamshinda parefu tu

1723674803401.png
 
Al ndio application gani mkuu,hebu iandike vyema na sisi tutambe
Waambieni hawa wasanii makanjanja kuna AI, grammarly and other writing apps zinakuandikia kila kitu au kurekebisha grammar yako waepuke hizi aibu za reja reja. Hadi Ikulu inatumia mabandiko yaliyoandikwa by AI.
 
Hivi ni ....We were au ni We was? ๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”...

kilikuja na โœˆ๏ธโ›ด๏ธ

We was ni sawa kwa american english

We were mostly ni formal english

Kkuna kingereza cha mtaani na cha shule ...tembeeni duniani muone na msikie mengi
 
Back
Top Bottom