Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Kiingereza Cha watanzania kinasikitisha Sana😥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harmonize your is a waste of talent
Al ndio application gani mkuu,hebu iandike vyema na sisi tutambe
Wabongo wanaotumia huu msemo wangejua maana yake wasingeutumia tena. Wajaribu kusema hivyo kwa a Jamaican, lina maana mbayaBombo cla ndo nn
Mimi simoKaumaliza mwendo sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka kusema we was ni sawa?Hapana, hapo alikuwa anamaanisha "tulikuwa tunauza jumla!"
Hii kitu nzuri sana.
Kwa maana yake mwenyewe!Unataka kusema we was ni sawa?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂We was seling total - Tulikuwa tunauza pamoja🤣🤣