sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Harmonize alikuwa na show nchini Kenya lakini kwa mara nyingine tena amekosa watu kama kawaida yake akifanya shows nje ya Tanzania.
Na alipojaribu kutoroka hiyo aibu aliishia kukoswa koswa na kipigo kitakatifu kutoka kwa wakenya wachache waliojitokeza.
Bahati nzuri polisi waliwahi na kumchukua kumpeleka kituoni ambapo alilala hapo na yupo hapo mpaka sasa.
Namshauri tu Harmonize na management yake wangeachana na hizi shows za nje ya nchi hii ni mara ya tatu anakosa watu Kenya anaishia kukimbia aibu. Yeye ni wa hapa hapa tena Instagram, yeye aendelee kuturushia video clips za kuchekesha kwenye insta hiyo ndio area yupo vizuri sana.