Harmonize anusurika kupewa kipigo Kenya baada ya shoo yake kubuma na kutaka kutoroka!

Harmonize anusurika kupewa kipigo Kenya baada ya shoo yake kubuma na kutaka kutoroka!

Kweli akili ni nywele kila mtu anazake, ila hawakutaja za eneo lipi. Sasa kwa kuwa Mondi karushiwa chupa ,Konde kurushiwa chupa una ona sawa sababu "hata Diamond karushiwa....".Wenzenu wanaiga vitu vizuri, haya nimesikia kumbe kampiga ngumi Omondi, Omondi nae anataka kumfungulia kesi huoni kwamba huo ni ujinga, usela nnya ambao utamghalimu Harmo kwa mziki wake na utamuingiza ktk gharama zisizo za msingi.

Ila si shangai kuongea hivyo kwani Diamond ni SI unit ya mziki wa Tanzania, ila ni vizuri akachukua vizuri vya Mondi na Mondi sizani ange act hivyo,kwani jamaa shule hana ila mambo yake mengi ana yafanya kiproffesional,Harmo apunguze usela, tena ya hasingefanya chochote na hata wangempeleka kituoni, angesimamia mkataba wake ulivyosema, haya kishaliongeza jingine na Omondi........
Kwa taarifa yako Omondi team yake kwenye mziki wa tz inajulikana kwahiyo lazima alete uchoko wake, alishaanzisha kampeni kenya watu wasiudhurie tamasha la konde
 
Na nyie muishi bila kutaja mapungufu ya wenzenu maana na nyie mna mapungufu yenu
Kwa hiyo unakubali hakuna uhai wa harmonize kwenye muziki bila jina la Diamond?
 
Kwa taarifa yako Omondi team yake kwenye mziki wa tz inajulikana kwahiyo lazima alete uchoko wake, alishaanzisha kampeni kenya watu wasiudhurie tamasha la konde
Maskini haujui hata kinachoendelea huko hujui nafasi ya Omondi mpk huyo mmakonde kwenda huko. huyo msela mavi ataendelea kuwadisapoint sana sababu hakujaliwa upeo.
 
Maskini haujui hata kinachoendelea huko hujui nafasi ya Omondi mpk huyo mmakonde kwenda huko. huyo msela mavi ataendelea kuwadisapoint sana sababu hakujaliwa upeo.
Wewe mwenye upeo kuliko konde upo wapi?
 
Kwa taarifa yako Omondi team yake kwenye mziki wa tz inajulikana kwahiyo lazima alete uchoko wake, alishaanzisha kampeni kenya watu wasiudhurie tamasha la konde
Yaleyale ya usela nnya sasa ndio ampige ngumi ,tena mbele ya Gavana Sonko na mkuu wa kituo cha polisi,hivi unajua kitamkuta nini Harmonize?

Mimi nilisikia mkataba wake ulikuwa ni just appearance na si kufanya show kwenye hiyo party,so kwa point hii kwa mtu mwenye akili angebaki kimya kwani kuna mkataba unamlinda.

Sasa unaleta usela nnya, kwenye nchi ya watu, mbele ya Gavana Sonko tena ndani ya ya kituo cha polisi na mkuu wa polisi anakuona,ngojea wamnyooshe ana akifanya masihala wanaweza wakampiga burn hasifanye show Kenya na kama hujui kwa EA hamna nchi inayolipa wasanii vizuri kama Kenya,kuanzia hela za airtime, ringtone na show kiujumla.
 
daah mondi kaloga nini ,make kuna kipindi salam alimwambia shoo za nje atabaki kuziskia tu
 
Umejiunga JF mwaka 2013 ila una akili za watoto wa miaka 15
Sawa, ila nimeandika hivyo kutokana na mtoa mada alivyowasilisha bandiko lake, pili nimejiunga jf kabla ya 2013 sema id yangu ya kwanza ilikula life ban that's y nikafungua hii
 
Ni changamoto tu, Asikate tamaa azid kupambana..
 
Itakuwa ni njama za Diamond tu sio bure.
 
Namshauri Harmo aachane na Jina gang sio Jina zuri kwenye Brand yake. Gang haikuwa jina la kundi jema tangu enzi na enzi.

Pili, auvae CEO aache kuongea ongea sana, aweke waongeaji, nakubaliana na ushauri hapo mchangiaji ametaja, kwamba angetulia, angekuwepo kwenye show tu, Ili pia ajue kwanni washabiki wake nchini Kenya kulikoni hawakutokea, je mfungo wa mwezi ramadhan au nini..

Pia namshauri aachane na kajala na asimzunguzie, asimtaje, Asi mu unfollow popote kwenye social media. Wanawake ukitaka akuheshimu Mpe heshima yake na usigeuke nyuma. Hiyo ndio Siri hasa mnapohitirafiana, na kamwe usithubutu kurudiana nae. Kwa wanaume wasionjua hii kanuni waelewe. Kwa sabb ukirudiana iwe ni ndoa na lazima abide na Sheria za mume. Inshort kajala sio mwanamke pekee nchini wapo wakali Sana tena sana, muhimu ni kuheshimiana tuu

Swali la kizushi. Je walinz wake wakati anapigana walikuwa wapi??
 
Kweli akili ni nywele kila mtu anazake, ila hawakutaja za eneo lipi. Sasa kwa kuwa Mondi karushiwa chupa ,Konde kurushiwa chupa una ona sawa sababu "hata Diamond karushiwa....".Wenzenu wanaiga vitu vizuri, haya nimesikia kumbe kampiga ngumi Omondi, Omondi nae anataka kumfungulia kesi huoni kwamba huo ni ujinga, usela nnya ambao utamghalimu Harmo kwa mziki wake na utamuingiza ktk gharama zisizo za msingi.

Ila si shangai kuongea hivyo kwani Diamond ni SI unit ya mziki wa Tanzania, ila ni vizuri akachukua vizuri vya Mondi na Mondi sizani ange act hivyo,kwani jamaa shule hana ila mambo yake mengi ana yafanya kiproffesional,Harmo apunguze usela, tena ya hasingefanya chochote na hata wangempeleka kituoni, angesimamia mkataba wake ulivyosema, haya kishaliongeza jingine na Omondi........
Ilikuwa ni stunt(kiki) tu wala hawajapigana, inasemekana show ya Nairobi hakuwa na mahudhurio mazuri hivyo 'wakajiongeza' kutengeneza kitu(clout chasing) kitakachopata media coverage kubwa ili show ya Mombasa isiwe kama ilivyokuwa ya Nairobi.
 
Okay kiki za hela ndio nzuri.
 
Ilikuwa ni stunt(kiki) tu wala hawajapigana, inasemekana show ya Nairobi hakuwa na mahudhurio mazuri hivyo 'wakajiongeza' kutengeneza kitu(clout chasing) kitakachopata media coverage kubwa ili show ya Mombasa isiwe kama ilivyokuwa ya Nairobi.
Na show ya Mombasa ikawa worse zaidi 😄😄😄
 
Harmonize alikuwa na show nchini Kenya lakini kwa mara nyingine tena amekosa watu kama kawaida yake akifanya shows nje ya Tanzania.

Na alipojaribu kutoroka hiyo aibu aliishia kukoswa koswa na kipigo kitakatifu kutoka kwa wakenya wachache waliojitokeza.

Bahati nzuri polisi waliwahi na kumchukua kumpeleka kituoni ambapo alilala hapo na yupo hapo mpaka sasa.

Namshauri tu Harmonize na management yake wangeachana na hizi shows za nje ya nchi hii ni mara ya tatu anakosa watu Kenya anaishia kukimbia aibu. Yeye ni wa hapa hapa tena Instagram, yeye aendelee kuturushia video clips za kuchekesha kwenye insta hiyo ndio area yupo vizuri sana.

View attachment 2207180

View attachment 2207183

View attachment 2207189
Wangempa tu kichapo cha kufa mtu...wanaboa sana hawa wasanii uchwara
 
Back
Top Bottom