sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Hakuna cha msingi kwa mtu aliepigwa tanganyika jeki kama kibaka wa buguruni.Cha msingi hapo kalia screwdriver na rotate anticlockwise.Kazi inakua imeisha.
Mzee hata diamond alishapigwa na makopo ujerumani kama hajakwambia muulize ilikuwajeHakuna cha msingi kwa mtu aliepigwa tanganyika jeki kama kibaka wa buguruni.
Diamond hawezi kufanya uhuni mavi kwenye biashara yake hao walio rusha makopo watakuwa wale haters.Mzee hata diamond alishapigwa na makopo ujerumani kama hajakwambia muulize ilikuwaje
Wakenya lazima wamfundishe namna msanii anatakiwa alinde brand yake yeye anafanya mambo kama chokoraaNimeona gazeti la Mwananchi limeripoti kwenye social media zake
Kwa mwendo huo ipo siku Konde boy atapigwa miti hadharani, wakenya hawapendi kucheka na ngedere.
Hayo ndio matatizo ya wasanii kujiona wako juu kuliko sanaa yenyewe. Kama Konde boy alishalipwa pesa ili kufanya show, anapaswa kufanya show hivyo hivyo hata kama hakuna umati wa watu uliokuja kuhudhuria. Ajifunze tamu na chungu ya kufanya sanaa, kama watu wanaweza kukushangilia pia wanaweza kukuzomea, kama wanaweza kuja kwa wingi pia wanaweza kuwa wachache.
Alibebwa juu juu kama kibaka wa tandika eti alikuwa anataka kupigana na polisi wa Kenya alijua ni wa pale oysterbay amenyooshwa πππ
Mzee hata diamond alishapigwa na makopo ujerumani kama hajakwambia muulize ilikuwajeHakuna cha msingi kwa mtu aliepigwa tanganyika jeki kama kibaka wa buguruni.
Uzi upo humu, yeye akaishia kuwalaumu waandaajiDiamond hawezi kufanya uhuni mavi kwenye biashara yake hao walio rusha makopo watakuwa wale haters.
Harmonize kapelekwa lokapu wamejaa mapromota kama kumi wengine alikuwa anapewa advance hatokei sasa leo wamembananisha...Na Omondi anaenda kumfungulia kesi maana kampiga mangumi mpaka kamchana mdomo
Tusimcheke kijana wetu huyo, sisi tunaotokea Bush ushamba unakawai mno kututoka kwa hiyo nivema ashauriwe ili ajifunze kupitia kwa waja. Tatizo la konde hataki kujishusha rather anataka kuonekana mkubwa kuliko hata ukubwa wenyeweAlibebwa juu juu kama kibaka wa tandika eti alikuwa anataka kupigana na polisi wa Kenya alijua ni wa pale oysterbay amenyooshwa πππ
Yani Harmonize habari zake uwa hazikamiliki mpaka mumulete Diamond Platnumz Chibu Dangote.... Mkiambiwa Konde hana uwezo wa kuishi bila jina la Diamond mnakuwa wakali wakati huo ndio ukweli.Mzee hata diamond alishapigwa na makopo ujerumani kama hajakwambia muulize ilikuwaje
Inabidi ajifunze kwa kweli, kwa supastaa kunyakuliwa kama bata haipendezi kwa kweli anatuaibisha kama nchi.Tusimcheke kijana wetu huyo, sisi tunaotokea Bush ushamba unakawai mno kututoka kwa hiyo nivema ashauriwe ili ajifunze kupitia kwa waja. Tatizo la konde hataki kujishusha rather anataka kuonekana mkubwa kuliko hata ukubwa wenyewe
KwahiyoUzi upo humu, yeye akaishia kuwalaumu waandaaji
Wewe unaishi kwa jina la nani?Yani Harmonize habari zake uwa hazikamiliki mpaka mumulete Diamond Platnumz Chibu Dangote.... Mkiambiwa Konde hana uwezo wa kuishi bila jina la Diamond mnakuwa wakali wakati huo ndio ukweli.
Diamond ndio reference yenu ooh mbona Diamond nae hivi.... Ebu muishi bila jina la Diamond hata miezi miwili basiWewe unaishi kwa jina la nani?
Na nyie muishi bila kutaja mapungufu ya wenzenu maana na nyie mna mapungufu yenuDiamond ndio reference yenu ooh mbona Diamond nae hivi.... Ebu muishi bila jina la Diamond hata miezi miwili basi
Kweli akili ni nywele kila mtu anazake, ila hawakutaja za eneo lipi. Sasa kwa kuwa Mondi karushiwa chupa ,Konde kurushiwa chupa una ona sawa sababu "hata Diamond karushiwa....".Wenzenu wanaiga vitu vizuri, haya nimesikia kumbe kampiga ngumi Omondi, Omondi nae anataka kumfungulia kesi huoni kwamba huo ni ujinga, usela nnya ambao utamghalimu Harmo kwa mziki wake na utamuingiza ktk gharama zisizo za msingi.Mzee hata diamond alishapigwa na makopo ujerumani kama hajakwambia muulize ilikuwaje