Harmonize anusurika kupewa kipigo Kenya baada ya shoo yake kubuma na kutaka kutoroka!

Kwa taarifa yako Omondi team yake kwenye mziki wa tz inajulikana kwahiyo lazima alete uchoko wake, alishaanzisha kampeni kenya watu wasiudhurie tamasha la konde
 
Na nyie muishi bila kutaja mapungufu ya wenzenu maana na nyie mna mapungufu yenu
Kwa hiyo unakubali hakuna uhai wa harmonize kwenye muziki bila jina la Diamond?
 
Kwa taarifa yako Omondi team yake kwenye mziki wa tz inajulikana kwahiyo lazima alete uchoko wake, alishaanzisha kampeni kenya watu wasiudhurie tamasha la konde
Maskini haujui hata kinachoendelea huko hujui nafasi ya Omondi mpk huyo mmakonde kwenda huko. huyo msela mavi ataendelea kuwadisapoint sana sababu hakujaliwa upeo.
 
Maskini haujui hata kinachoendelea huko hujui nafasi ya Omondi mpk huyo mmakonde kwenda huko. huyo msela mavi ataendelea kuwadisapoint sana sababu hakujaliwa upeo.
Wewe mwenye upeo kuliko konde upo wapi?
 
Kwa taarifa yako Omondi team yake kwenye mziki wa tz inajulikana kwahiyo lazima alete uchoko wake, alishaanzisha kampeni kenya watu wasiudhurie tamasha la konde
Yaleyale ya usela nnya sasa ndio ampige ngumi ,tena mbele ya Gavana Sonko na mkuu wa kituo cha polisi,hivi unajua kitamkuta nini Harmonize?

Mimi nilisikia mkataba wake ulikuwa ni just appearance na si kufanya show kwenye hiyo party,so kwa point hii kwa mtu mwenye akili angebaki kimya kwani kuna mkataba unamlinda.

Sasa unaleta usela nnya, kwenye nchi ya watu, mbele ya Gavana Sonko tena ndani ya ya kituo cha polisi na mkuu wa polisi anakuona,ngojea wamnyooshe ana akifanya masihala wanaweza wakampiga burn hasifanye show Kenya na kama hujui kwa EA hamna nchi inayolipa wasanii vizuri kama Kenya,kuanzia hela za airtime, ringtone na show kiujumla.
 
Wewe mwenye upeo kuliko konde upo wapi?
Mimi nipo hapa JF nampa elimu ya lifestyle. Huo ustaa aliopewa na Diamond autumie kwa akili la sivyo atapoteza nguvu aliyotumia mwenzake kumfikisha hapo.
 
daah mondi kaloga nini ,make kuna kipindi salam alimwambia shoo za nje atabaki kuziskia tu
 
Umejiunga JF mwaka 2013 ila una akili za watoto wa miaka 15
Sawa, ila nimeandika hivyo kutokana na mtoa mada alivyowasilisha bandiko lake, pili nimejiunga jf kabla ya 2013 sema id yangu ya kwanza ilikula life ban that's y nikafungua hii
 
Ni changamoto tu, Asikate tamaa azid kupambana..
 
Itakuwa ni njama za Diamond tu sio bure.
 
Namshauri Harmo aachane na Jina gang sio Jina zuri kwenye Brand yake. Gang haikuwa jina la kundi jema tangu enzi na enzi.

Pili, auvae CEO aache kuongea ongea sana, aweke waongeaji, nakubaliana na ushauri hapo mchangiaji ametaja, kwamba angetulia, angekuwepo kwenye show tu, Ili pia ajue kwanni washabiki wake nchini Kenya kulikoni hawakutokea, je mfungo wa mwezi ramadhan au nini..

Pia namshauri aachane na kajala na asimzunguzie, asimtaje, Asi mu unfollow popote kwenye social media. Wanawake ukitaka akuheshimu Mpe heshima yake na usigeuke nyuma. Hiyo ndio Siri hasa mnapohitirafiana, na kamwe usithubutu kurudiana nae. Kwa wanaume wasionjua hii kanuni waelewe. Kwa sabb ukirudiana iwe ni ndoa na lazima abide na Sheria za mume. Inshort kajala sio mwanamke pekee nchini wapo wakali Sana tena sana, muhimu ni kuheshimiana tuu

Swali la kizushi. Je walinz wake wakati anapigana walikuwa wapi??
 
Ilikuwa ni stunt(kiki) tu wala hawajapigana, inasemekana show ya Nairobi hakuwa na mahudhurio mazuri hivyo 'wakajiongeza' kutengeneza kitu(clout chasing) kitakachopata media coverage kubwa ili show ya Mombasa isiwe kama ilivyokuwa ya Nairobi.
 
Okay kiki za hela ndio nzuri.
 
Ilikuwa ni stunt(kiki) tu wala hawajapigana, inasemekana show ya Nairobi hakuwa na mahudhurio mazuri hivyo 'wakajiongeza' kutengeneza kitu(clout chasing) kitakachopata media coverage kubwa ili show ya Mombasa isiwe kama ilivyokuwa ya Nairobi.
Na show ya Mombasa ikawa worse zaidi πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Wangempa tu kichapo cha kufa mtu...wanaboa sana hawa wasanii uchwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…