mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 760
Msechu amekosa tu kundi la kumuunga mkono ila wimbo wake hauna mpinzani katika nyimbo zote zilizoimbwa juu ya hayati BEN MKAPA
Hakika mkuu, na nilipanga kuja na uzi wa kumpongeza Peter msechu kwa wimbo ule wenye hisia kali na sauti ya kuvutia. Hakika PETER MSECHU kamtendea haki Hayati Mkapa .Wimbo bora wa kusikiliza ni ule wa chibonge PETER MSECHU wa Tutaonana MKAPA, ameutendea haki kila idara.
Wewe unaweza kuwa umezaliwa siku za hivi karibuni. Huo wimbo wa kama sio juhudi zako kwanza uliimbwa na kwaya ya kijitonyama kkkt "Kama sio juhudi zako Yesu" ukafanyia marekebisho kipindi cha msiba wa nyerere "kama sio juhudi zako mwalimu" kwahiyo konde boy naye kaufanyia marekebishoIle nyimbo ya msechu ilishaimbwa, kabadili mashairi tu Melody used. Ya konde boy Ni new song
Mtafuta Kiki huyoNimesikiliza wimbo wa Harmonize, nyimbo ya maombolezo.
Kwa kweli asante sana kijana wetu, wimbo wako una hisia kali na umenitoa machozi. Kwenye wimbo Kijana kamlilia mzee, anasema kama siyo juhudi za mzee watu wa kusini lile daraja wangelipata wapi.
Kijana kaimba kwa hisia kali kwelikweli. Anaimba jinsi maraisi wenzie, Magufuli, Kikwete na Mwinyi wanavyomlilia.
Rest in Peace Benjamin Mkapa, You are our hero!
Acha kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupaMarehemu Remmy Ongala (R.I.P) alikuwa na uwezo mkubwa wa kutunga mashairi mara baada ya tukio. Rémy aliweza kutoa wimbo ndani ya masaa 24 baada ya tukio.
Kwahili Harmonize umenikumbusha mbali, kwakweli ulizaliwa kwasababu maalum.
Now you’re Kigoma Independent!Acha kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Ahaaaaaaaaah how relate with my argument?Now you’re Kigoma Independent!
Both of them are rubbishAhaaaaaaaaah how relate with my argument?
Daaaaaah Leo umetibuliwa sanaBoth of them are rubbish