Kumbe jamaa anaiba mpaka taarabuMwanamziki nguli wa muziki wa Bongo Flava, Harmonize ameshutumiwa na "wasanii wadogo" Lizu Dady na Phamo S kuiba idea ya wimbo wa wimbo wake mpya unaoitwa "huo ni ushamba".
Wasanii hao wanadai walitunga wimbo mapema wanaouita "upimbi", wimbo ambao unaendana wazo pamoja na kiitikio (Chorus). Wasanii hao wameonekana kulalamika na kutaka haki itendeke kwao.
Sasa Huyo Harmonizer si ni mwanachama wa CCM?ulitegemea asijue mbinu hizo za kuchakachua kazi za watu.Kumbe jamaa anaiba mpaka taarabu
π€£π€£π€£π€£π€£Kumbe jamaa anaiba mpaka taarabu
π€£π€£π€£π€£π€£Wasanii wakubwa kwa wizi hawajambo.
Ila hayanihusu
uyu w chini ni nani?Mnaambiwa mkasajili kazi zenu mapema COSOTA ili hata ukilalamika ushahidi unao,sasa wewe unalalamika maneno matupu hujasajili kazi yako unaonekana muongo.
Ila ungeusajili COSOTA sasa hivi ungempeleka kwa pilato ili upate haki yako.Hapo labda ushahidi waliokuwa nao kwamba nyimbo yao wameiupload Oct 19 na ya Harmo Nov 9.
Ila hii kama angekuwa Mondi ingekimbia sasa hivi ingekuwa page ya 10.ππππView attachment 1623451
Buuuh mu wcb kasemaHarmonize mwenyewe amekaa kaa kishamba sana
Mshamba asiye na shule wala exposureHarmonize mwenyewe amekaa kaa kishamba sana
Majungu hayo lakini anaishi vizuri kuliko nyieMshamba asiye na shule wala exposure
Ni swala la time tuMajungu hayo lakini anaishi vizuri kuliko nyie
Kama mnajua ni time tu msiropoke sasa subirini huo muda na mnaweza mkakosa piaNi swala la time tu
Wivu wa watu watukuyuMshamba asiye na shule wala exposure