Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Maisha mazuri yapoje?Majungu hayo lakini anaishi vizuri kuliko nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha mazuri yapoje?Majungu hayo lakini anaishi vizuri kuliko nyie
Sijui labda nikuulize wewe mwenye nayo.Maisha mazuri yapoje?
Alafu huyo so tuliambiwa atakuwa mbunge wa tandahimba imekuwaje Tena.
Sio mwanasiasa
Ndio, kama sio asingegombeaMwana fa ni mwanasiasa?
Ndio, kama sio asingegombea
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Msanii nguli....!!
Mambo mengine kiki tu...muwe munaangalia na mtu mwenyewe anaeongeaAlivyosema atakuwa mbunge wa tandahimba alikuwa hajui kuwa yeye sio mwanasiasa?