Harmonize atangaza vita rasmi na WCB

HARMONIZE NJE YA KUPIGA SHOW UMAKONDENI HUKO HAKUNA JIPYA,MPAKA SASA KAJARBU SHOW BUKOBA,KAHAMA,SHINYANGA N.K LAKINI PEUPEEE

SIKU HIZI SHOW ATAKUA ANAENDA PIGA MTWARA TU.


HATA FANS WAKE KWA KIASI KIKUBWA WAMEBAKI TEAM CHUKI KWA DIAMOND NA WAMAKONDE WENZIO.


ILA KIDIZAINI FULANI HIVI MONDI ANA MKWEPA SANA JAPO YE ANA LAZIMISHA UPINZANI,NAHISI MANAGEMENT YAKE INA MUELEKEZA ATAFUTE BIFU NA DIAMOND NDO ATATOBOA ZAID.

E-FM NAO WAMEKUA KAMA KINA DIVA TU WANATAFUTA KUBAKI MIDOMONI KWA WATU KUPITIA MONDI.


Ajabu kwangu ni pale,watu pasipo na aibu hata chembe kumkumbatia mtu waliyempiga vita zaid ya mwaka na nusu huku akikuzwa na kufanyiwa kila promotion akue😊

WaTZ unafiki huu ndo mana nchi inaendelea kubaki palepale.
 
Huu mchezo hata clouda nao wameanza kuushtukia,taratiiibu wameanza kujiweka kando
 
Na hua wana hasira/jazba sana maana moyo wao uko karibu na mfuko wa mavi na kuna joto kali sana pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vituko vilikua vingi

Kuna chupa zilirushwa jukwaani wacha waliokuwepo hapo watimue mbio mpaka tv ikakatisha matangazo ghafla
Na kuna shabiki alipanda jukwaani amelewa akaomba awekewe bit la hiphop achane,akaulizwa unataka beat la wimbo gani uimbe.?

Akajibu UNO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah kuna muda afande alikua na mkanda mkononi nikaona anaanza kuchapa nzengo,waha wakaona isiwe inshu bora warushe chupa tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vituko vilikua vingi

Kuna chupa zilirushwa jukwaani wacha waliokuwepo hapo watimue mbio mpaka tv ikakatisha matangazo ghafla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani hapa ni mondi yule yule,kijizaa upya kimuziki ili aendelee kuwa juu,baada ya kiba kutepeta,

m,ond,i Vs k,ond,e,,,(ond),
Messi akifanya vizuri ataongelewa cr7 pia cr7 akifanya vizuri messi ataongelewa,mwisho wa siku utagundua wanakuzana thamani kibiashara,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumbavu sana vijana nyie, mnachotwa akili kipumbavu na wanasiasa, badala mtafakari maisha yenu mtainua vipi uchumi wenu, mnaangalia ugomvi wa wasanii wanaotumika kisiasa..fools !!!!

Sent using Unataka kujua ili iweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…