HARMONIZE NJE YA KUPIGA SHOW UMAKONDENI HUKO HAKUNA JIPYA,MPAKA SASA KAJARBU SHOW BUKOBA,KAHAMA,SHINYANGA N.K LAKINI PEUPEEE
SIKU HIZI SHOW ATAKUA ANAENDA PIGA MTWARA TU.
HATA FANS WAKE KWA KIASI KIKUBWA WAMEBAKI TEAM CHUKI KWA DIAMOND NA WAMAKONDE WENZIO.
ILA KIDIZAINI FULANI HIVI MONDI ANA MKWEPA SANA JAPO YE ANA LAZIMISHA UPINZANI,NAHISI MANAGEMENT YAKE INA MUELEKEZA ATAFUTE BIFU NA DIAMOND NDO ATATOBOA ZAID.
E-FM NAO WAMEKUA KAMA KINA DIVA TU WANATAFUTA KUBAKI MIDOMONI KWA WATU KUPITIA MONDI.
Ajabu kwangu ni pale,watu pasipo na aibu hata chembe kumkumbatia mtu waliyempiga vita zaid ya mwaka na nusu huku akikuzwa na kufanyiwa kila promotion akue😊
WaTZ unafiki huu ndo mana nchi inaendelea kubaki palepale.