Harmonize atoa wimbo mkali kumsifu Rais Magufuli

Ameeleza hisia zake nami naungana nae Bila shaka Magufuli ni rais Bora licha ya mapungufu madogo maana ndio yanakamilisha ubinadamu wake.
 
Harmonize ametoa remix ya Kwagwaru akimpongeza na kumsifu Rais Magufuli kwa utendaji wake wa kazi.

Kwa huu wimbo sitashangaa Magufuli akimpa shavu la kuelewaleka Harmonize.

Kwa Ankali anweza kumpa hata Ukuu wa Mkoa.
 
Sasa unateseka nn....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji106][emoji95][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kwani uliwahi kuona wapi darasa LA 7 anamchukia anco magu
Watz bhana,, sasa ww n phd yako na huyo wa la saba nani bogus?

La saba ni billionea, asha ji brand , ana networking na kampuni za kutosha , unaensa kumpigia goti ww wa phd upate kazi ya kupanga makablasha ,akija kukagua miradi unasimama unamsalimia shikamoo na phd yako !

Wewe unakaa mitandaoni kutukana mamlaka , yeye mwenye nacho tayar na ndo mwenye power anasifia na kuheshim mamlaka sjui nani mburula hapa !
 
Watz bhana,, sasa ww n phd yako na huyo wa la saba nani bogus?

La saba ni billionea, asha ji brand , ana networking na kampuni za kutosha , unaensa kumpigia goti ww wa phd upate kazi ya kupanga makablasha ,akija kukagua miradi unasimama unamsalimia shikamoo na phd yako !

Wewe unakaa mitandaoni kutukana mamlaka , yeye mwenye nacho tayar na ndo mwenye power anasifia na kuheshim mamlaka sjui nani mburula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…