Harmonize atumia mwezi mtukufu wa Ramadhani kuomba msamaha kwa Diamond kwa bifu lao lililotokea, 'Am Sorry'

Harmonize atumia mwezi mtukufu wa Ramadhani kuomba msamaha kwa Diamond kwa bifu lao lililotokea, 'Am Sorry'

Yani sawa na mtu kukuambia ugua pole kwenye social networks ,sijui kwako utauchukuliaje. Maana naona kama kejeli, anaweza kuomba Msamaha bila kuenda kwenye mitandao ya jamii, zaidi ya hapo ni kutafuta kiki,halafu sio mara kwanza kuandika alicho kiandika.

Ommy na Mondi walikuwa na beef,sijui nani alimkosea mwenzake,ila Ommy Dimpoz na Mondi now wapo poa sijaona Ommy au Mondi wakiombana kusameheana kwenye social networks. Bali tuliwaona wanahang pamoja kwenye event nyingi.
Nimekuelewa.

Japo huyu tunayemzungumza hapa ni msanii, ambaye maisha yake yote na kula kwake kunategemea sana mtandao.

Kama amemaanisha alichokisema, haijalishi msamaha huo kaombea gizani, katikati ya barabara au mtandaoni.

Content Not Formalities.
 
Nimekuelewa.

Japo huyu tunayemzungumza hapa ni msanii, ambaye maisha yake yote na kula kwake kunategemea sana mtandao.

Kama amemaanisha alichokisema, haijalishi msamaha huo kaombea gizani, katikati ya barabara au mtandaoni.

Content Not Formalities.
Huwezi kumaanisha mitandaoni, umemkosea mtu mfuate,mfano Ommy na Diamond, Kiba na Man Walter mpaka walitaka kupelekana mahakamani ile juzi walienda studio wakaachia nyimbo now mpaka sasa wapo poa. Social networks maigizo.
 
Huwezi kumaanisha mitandaoni, umemkosea mtu mfuate,mfano Ommy na Diamond, Kiba na Man Walter mpaka walitaka kupelekana mahakamani ile juzi walienda studio wakaachia nyimbo now mpaka sasa wapo poa. Social networks maigizo.
Sasa haya ni maoni yako binafsi.

Nachokifahamu ni kwamba msamaha ni msamaha tu, haijalishi umeombea wapi.
 
Anachofanya, kibinadamu ni sahihi, lakini sokoni anaenda kuwa cheap commodity .

Wewe ni msanii mkubwa,Kwa nini utangaze mambo ya misamaha kwenye sosha network?

Mngeombana msamaha kimya kimya, then showbiz unamvimbia.

Konde alizingua sana alivyo behave Zanzibar.

Mistakes 4 za konde Zanzibar.
Kurekodi magari ya diamond , kulikua na ulazima gani yeye kuyarekodi? Sasa alivyorekodi na alivyokua anaongea ni kama alikua anamcheka mshkaji.

Kusimama juu na kucheza ngoma ya diamond, nigga ungechill na kuchezesha kichwa tu, unaona nasibu alivyohandle kipindi unapafomu. We unadhani hakuifeel?

Kufosi kukumbatia midemu, nigga what???
Wewe ni superstar, upo kiwanja cha nyumbani (kwa mkapa Zanzibar) kwa nini uhangaike na midemu, wale mademu ilibidi wakupe hii wewe halafu uwakaushie( chupi zao wooote wale mademu zingelowa utelezi kwa kukataliwa hi na konde, jioni unawaomba msamaha kisha unawapiga mkonga woote five some)

Sasa ona umefosi kukumbatiwa, halafu demu limekataaa aibu!!! Na confidence inapotea unajikuta unapiga show down kama ma pipes za shonde.

Kwanza hujui kaletwa na nani, huenda kuna sponsa labda mwanasiasa mkubwa, labda kalipia tiketi za go and return kalipia hotel stay, halafu aone manzi anakumbatiwa big no.

La mwisho alivyokutana na mondi, ilikua vizuri lakini ishu ya kukaa muda mrefu, kujiongelesha haikua na ulazima, pale ilikua mnakutana yooo wasap wasap mnapeana mikono, hug ya ki gangsta then unaongea kitu ambacho hata waandishi hawasikii(mkiwa karibu karibu)ambacho kesho waandishi wa habari watapata cha kukuuliza uliongea nini au yeye alikwambia nini.

Sasa jamaa kafika pale kuvutana mikono, ila modi alireact vizuri alipovutwa mkono, kama angelegea akavutwa ina maana symbol ya power ingekua imechukuliwa ila mondi akavimba hakuvutika kizembe.

Na mondi namkubali kwenye haya mambo ya power jamaa ni dominant, nahisi jamaa yawezekana kuna mtu au hata yeye inawezekana kabisa akawa kwenye vyama vya siri au anayasoma hayo mambo.

Tazama video aliyokaa zuchu, mondi, mke wa jux(unaoa ili ugundue nini) na jux mwenyewe.

Kuna kipande wanashikana mikono.

Angalia kwa umakini, diamond alivyomshika mkono zuchu, halafu angalia jux alivyomshika mkono mkewe

Hapo utaona symbol of dominance and power.


View: https://youtu.be/5uhKBddShDs?si=Kv8KT7vnEIG8eChZ
 
Wasanii umri wao unarudi kinyume nyume. Mimi nipo darasa la kwanza namsikia nature anaimba, sijui hata hawanawake ni nini nasikia skendo za nature na sinta, Nakuwa mkubwa Nature yupo, juzi naona kwenye interview nature anataja miaka yake, eti tunalingana miaka?
Sasa kama ulianza shule na miaka 15
 
Kupitia huu mwandiko wake Una-Sense Maturity kubwa kwake.

Hii ndo kitu huwa napenda kukua kiakili ni muhimu
 
Sometime nafsi inakusuta ukiangalia alipokutoa mpaka hapo ulipo dah
 
Back
Top Bottom