Harmonize atumia mwezi mtukufu wa Ramadhani kuomba msamaha kwa Diamond kwa bifu lao lililotokea, 'Am Sorry'

Wasanii wanafiki...mfungo ukiisha wataendelea na ufuska wao
 
Kama kawaomba msamaha wote aliwahi kuwakosea, kwanini umemtaja specifically Diamond? Hajawahi kuwakosea wengine mfano Kajala, mwanae Kajala (simjui jina), na wengine?
 
Hamna kitu.hapo, ana kashfa nyingi ikiwemo kukufuru japo sisi hatuwezi kuhukumu, ila kondegal ana matatizo kichwani, hopeless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…