Mallia
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 437
- 1,562
Mdogo wangu Harmonize naona jana umeachia nyimbo ya kumsifu mama, ila sidhani kama umeshausoma upepo wa mama kwa sasa upoje, mdogo wangu mama sio kama mwendazake yaani hapendi kusifiwa sifiwa tena akijua ni zile sifa za kujipendekeza
Mdogo wangu jikite kwenye kazi zako tu isipoteze pesa kabisa kujipendekeza zama zimebadilika
Mdogo wangu jikite kwenye kazi zako tu isipoteze pesa kabisa kujipendekeza zama zimebadilika