Harmonize ausome upepo mama sio mwendazake hapendi sifa


Hakuna binadamu asiyependa sifa
 
Ila wazee tusisahau kusaini petisheni ya dimondi kutoshiriki BET 🤣🐒🤸
 
Hapa naona chuki na wivu vimewajaa
Aliyetoa nyimbo ya kusifa mama ni harmonize tu?

Zuchu nae vipi au jumba anaangushiwa harmo?

Wabongo kwa chuki na unafki tunaongoza
 
hayo ni mawazo yako.

Mungu mwenyewe aliye mkamilifu anapenda kusifiwa.
 
Huyu mmakonde muda mwingine mjinga sana ..na wasanii wengine wanaotoa nyimbo za kusifu tawala ni wajinga tu.

Eti unatunga wimbo kumsifu Rais
 
Huyu mmakonde muda mwingine mjinga sana ..

Eti unatunga wimbo kumsifu Rais
Watu wengi inaonekana CCM hawajaijua vizuri.

Kati ya mambo ambayo unaweza kudhani ni ya kipumbavu na hakuna mwenye akili timamu anaweza kufanya, wao ndio wanafanya.

Hizo nyimbo wala usishangae kuja kusikia wao CCM ndio wamemlipa atunge.

Rayvanny kashaimba inaitwa Kazi Iendelee,

Zuchu kashaimba, Kazi iendelee

Nandy kaimba,

Leo kwenye hilo takataka wanalosema ni mkutano wa Rais na vijana, walikuwepo Rayvanny na Zuchu kutumbuiza.

Hapo ni wewe tu na akili yako timamu.
 
Dogo boya
 
Elewa kitu kimoja tu ya kwamba
'hakuna mtawala asependa sifa'

Ukiwa makini kwa kujua hili utaishi poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…