Mallia JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 437 Reaction score 1,562 Jun 15, 2021 Thread starter #41 medieval2april2021 said: Elewa kitu kimoja tu ya kwamba 'hakuna mtawala asependa sifa' Ukiwa makini kwa kujua hili utaishi poa. Click to expand... Kuna mtu aliyekuwa anapenda kusifiwa kumzidi Magufuli?
medieval2april2021 said: Elewa kitu kimoja tu ya kwamba 'hakuna mtawala asependa sifa' Ukiwa makini kwa kujua hili utaishi poa. Click to expand... Kuna mtu aliyekuwa anapenda kusifiwa kumzidi Magufuli?
Dr Count Capone JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 1,878 Reaction score 3,263 Jun 15, 2021 #42 Mallia said: Kuna mtu aliyekuwa anapenda kusifiwa kumzidi magufuli? Click to expand... Nadhani unauliza swali lisilo, uliza kuna mtawala asependa kusifiwa? Hapo juu kuna mchangiaji kakueleza hata mtawala wa mbingu anapenda kusifiwa...
Mallia said: Kuna mtu aliyekuwa anapenda kusifiwa kumzidi magufuli? Click to expand... Nadhani unauliza swali lisilo, uliza kuna mtawala asependa kusifiwa? Hapo juu kuna mchangiaji kakueleza hata mtawala wa mbingu anapenda kusifiwa...
Mallia JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 437 Reaction score 1,562 Jun 15, 2021 Thread starter #43 medieval2april2021 said: Nadhani unauliza swali lisilo, uliza kuna mtawala asependa kusifiwa? Hapo juu kuna mchangiaji kakueleza hata mtawala wa mbingu anapenda kusifiwa... Click to expand... Mama hapendi sifa za kijinga
medieval2april2021 said: Nadhani unauliza swali lisilo, uliza kuna mtawala asependa kusifiwa? Hapo juu kuna mchangiaji kakueleza hata mtawala wa mbingu anapenda kusifiwa... Click to expand... Mama hapendi sifa za kijinga
Dr Count Capone JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 1,878 Reaction score 3,263 Jun 15, 2021 #44 Mallia said: Mama hapendi sifa za kijinga Click to expand... Sawa