Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Hujui kua pia ni balozi wa Six packs Tz?
#Say No Kwa Kitambi#
Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
hahaha mkuu punguza jazba.Hayo madeal yamekuwa mengi sana kwa wasanii,
Hata Zuchu kaanza muziki hata week mbili hajamaliza na yeye ni #pepsi ambassador.
Hakuna kitu cha ajabu hapo.
Duuh! Kumbe pesa mzuri hivo..!
Miaka mitatu soma vizur au huoni
Nimekuhurumia aisee punguza wivu hayo mambo hayakufati nyumbani ukiwa umelala.Hayo madeal yamekuwa mengi sana kwa wasanii,
Hata Zuchu kaanza muziki hata week mbili hajamaliza na yeye ni #pepsi ambassador.
Hakuna kitu cha ajabu hapo.
unamzidi kitu gani?Hiyo pesa aliyopata mwambieni tu anunue shati,anakaa sana kifua wazi.
uo ujinga nani kakufundisha?Hayo madeal yamekuwa mengi sana kwa wasanii,
Hata Zuchu kaanza muziki hata week mbili hajamaliza na yeye ni #pepsi ambassador.
Hakuna kitu cha ajabu hapo.
Zipi sasa mkuu,kuna kitu cha ajabu nimeandika hapo.hahaha mkuu punguza jazba.
Ok inawezekana we kondoo wa hujanielewaNimekuhurumia aisee punguza wivu hayo mambo hayakufati nyumbani ukiwa umelala.
Ngamia wa porini wewe
Na ww ndo ushampenda hivyo....Konde boy.
Mwanangu anamenda balaaa.hata kama alikuwa hali.
Ukimwonyesha harmonize anakula.
Heko kwake
Kwaio Ww unaona unaakili sana hapo ulipokwa ulichokiandika?
[emoji2][emoji2] [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hapana deal limesainiwa MIL 600 mzee baba ooh Kwa miaka 3 sio mchezo
Nasikia ni bilioni 1.9 kwa miaka mitatu yaaniHapana deal limesainiwa MIL 600 mzee baba ooh Kwa miaka 3 sio mchezo
Sent by IPhone