Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Jana nimeangalia Behind The Scene ya video ya Bedroom.
Nikaja na conclusion moja, Konde Gang means business.
Nikaja na conclusion moja, Konde Gang means business.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ingawa team nyingine ile inaitwaje sijui itakuwa ni siku chungu kama wamemeza kolokwiniNimeisikia aisee, hongera yake aisee.
Naamini timu Konde Gang itakuwa shangwe sana leo.
Rebeca 83 atakuwa yuko shangwe sana.
watu wanapiga kazi bro,Jana nimeangalia Behind The Scene ya video ya Bedroom.
Nikaja na conclusion moja, Konde Gang means business.
ingawa team nyingine ile inaitwaje sijui itakuwa ni siku chungu kama wamemeza kolokwini
out of topicBILA KUPITIA KWA SIMBA HUWEZI PATA DEAL YEYOTE (ILA UNAPATA DEAL ZAIDI BAADA YA KUMWAGANA NAYE):
1. ZARI - Balozi wa sabuni gani sijui , DANUBE etc
2.TANASHA - Maarufu ,ghafla ana trend kama mwanamuziki. Angekaa mwaka mmoja zaidi angeoata deals za ubalozi kama hizo
3.HARMONIZE - balozi wa CRDB , soda gani sijui
4.SAPENGA - akawa Brand si ya kitoto
5.etc etc
MSHUKURUNI SIIMBA NDIYE NGAZI YENU NYIE KENGE
watu wanapiga kazi bro,
Tatizo kuimba hajui sikuizi anaimba kama kwayaRayvany akiona mambo kama haya atatamani na yeye kuondoka wcb
Yes hilo ndo tulilokuwa tunalitaka.. Kuweka ushindani angle zote..Wakomae tu, soko la muziki Tanzania bado ni changa sana, kila mmoja anayo nafasi ya kupata bila kuathiri kupata kwa mwenzake.
Ni muda sasa tutaanza kuona kazi zenye ushindani kutoka kila kambi.
🤣🤣🤣 chapa kazi mkuu acha wivu wa kikeKajamaa kuna vitoto vina mu overrate, nampa miez kadhaa tu atakuwa harmorapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda wa kununua zile VX V8 ziwe zake sasa maana mnyamakazi Mondi nmeona amemdiss flani kwenye clip kupitia zile Landcruiser zake kwamba raha ya ku cruise gari ziwe zako!Nimeisikia aisee, hongera yake aisee.
Naamini timu Konde Gang itakuwa shangwe sana leo.
Rebeca 83 atakuwa yuko shangwe sana.
Muda wa kununua zile VX V8 ziwe zake sasa maana mnyamakazi Mondi nmeona amemdiss flani kwenye clip kupitia zile Landcruiser zake kwamba raha ya ku cruise gari ziwe zako!
Eeh mzee, usifanye masihara na deals za namna hio. Yuko na Menejimenti inayojielewa. Kula 700M kwa mwaka sio kitoto na kwa uchumi huu wa Magu kmmmae hapo azembee tu sasa maana mwenzie ana tofali za kutosha mjini Dar hapoNjia ya mafanikio imeshapatikana tayari.
Huyu katoboa tayari.
Eeh mzee, usifanye masihara na deals za namna hio. Yuko na Menejimenti inayojielewa.
Sema atoe ngoma kali sasa sio takataka anazo release sasa.
Mzee baba nachuki nae kivp?Hii akiiona innocent dependent anaumia utadhani kameza kolokwini
Wapi nimesema una chuki nae??Mzee baba nachuki nae kivp?
Unachokiongea hata ukijuiWapi nimesema una chuki nae??
Nimekwambia onyesha wapi.. Hakuna??Unachokiongea hata ukijui
Rayvan namtafuta mno nimpatie uwakala wa mgahawa wangu haupatikani