Harmonize balozi mpya wa CRDB Bank. Kijana anachanja mbuga asee

Harmonize balozi mpya wa CRDB Bank. Kijana anachanja mbuga asee

Hapo kwenye ngoma inabidi afanyie kazi, kiukweli mpaka sasa naona bado hajatoa hit ya kusumbua kitaa kama zile ngoma zake akiwa WCB.

Nafikiri kazi zitaanza sasa, maana presha ya mfukoni kidogo inaanza kupungua.
Kuna ngoma moja anayo kawashirikisha Morgan Hertage-Nakupenda Malaika,ile ngoma kibongo bongo inaweza isitoboe ila kwa soko la nje itambeba nimeshangaa mpaka sasa kwa nini hajaifanyia video.

Katoa Bedroom rmx kaiharibu OG nyimbo imekuwa kama kwaya watu kibao.
 
naona unasikia hasira unataka hata kujiua basi tumekubali domo ndio daraja la mafanikio
BILA KUPITIA KWA SIMBA HUWEZI PATA DEAL YEYOTE (ILA UNAPATA DEAL ZAIDI BAADA YA KUMWAGANA NAYE):
1. ZARI - Balozi wa sabuni gani sijui , DANUBE etc
2.TANASHA - Maarufu ,ghafla ana trend kama mwanamuziki. Angekaa mwaka mmoja zaidi angeoata deals za ubalozi kama hizo
3.HARMONIZE - balozi wa CRDB , soda gani sijui
4.SAPENGA - akawa Brand si ya kitoto
5.etc etc

MSHUKURUNI SIIMBA NDIYE NGAZI YENU NYIE KENGE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...Write your reply...vipi yule mfalme wa kariakoo siku hizi anaubalozi gani ?


niliskia hapendagi showoff
 
Rayvanny aje nimpe deal ya kutangaza halopesa atakufa njaa yule


Sent from my iPhone using JamiiForums
Umewahi kuota kuwa ipo siku utampa mshikaji wako Brevis mpya bure bure tu?
 
Back
Top Bottom