Harmonize balozi mpya wa CRDB Bank. Kijana anachanja mbuga asee

Harmonize balozi mpya wa CRDB Bank. Kijana anachanja mbuga asee

Wewe ni mzee? Are you over 45?
Yani watu wajuaji na wajinga kama wewe ni pesa ya WCB unajiona ku-side kwa harmonize ni kutoipa hela WCB au kuangalia na kusikiliza Wasafi ni kutoipa hela Clouds Kalagabaho.
kijana tafuta mahouse girl hapo mtaani kwenu uwapigie hizi story.
 
Simba toka mbuga ya Tandale, naona swala mnafosi ili muwe salesale viuno vidogo mnataka pensi ya pepe kale si mlitaka kiti amewapa hadi kitanda mkalale.
mkuu punguza jazba na wivu,
mwacheni kijana wa watu atafute riziki yake.
 
mkuu punguza jazba na wivu,
mwacheni kijana wa watu atafute riziki yake.
Old man, simuonei wivu nimependa sana ubunifu wao na nitaendelea kuupenda.
Nina album ya Harmonize yote i support everything anafanya maana ninafahamu kuichukia Clouds na Kuipenda Wasafi ni ujinga nitakuwa najitia majakamoyo mwenyewe tu wao wananufaika
 
hebu kunywa juice ya malimao utulize wenge.
 
BILA KUPITIA KWA SIMBA HUWEZI PATA DEAL YEYOTE (ILA UNAPATA DEAL ZAIDI BAADA YA KUMWAGANA NAYE):
1. ZARI - Balozi wa sabuni gani sijui , DANUBE etc
2.TANASHA - Maarufu ,ghafla ana trend kama mwanamuziki. Angekaa mwaka mmoja zaidi angeoata deals za ubalozi kama hizo
3.HARMONIZE - balozi wa CRDB , soda gani sijui
4.SAPENGA - akawa Brand si ya kitoto
5.etc etc

MSHUKURUNI SIIMBA NDIYE NGAZI YENU NYIE KENGE
Rayvan?
Lavalava?

Au hawapo kwa simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom