Burnaboy
JF-Expert Member
- Dec 2, 2019
- 1,070
- 1,439
Hapo ndio shida. Angebaki ila aombe wambadilishie meneja. Yule si wa hadhi ya kukosa ubalozi hadi sasa. Ni uzembe tu.ana million 600 ya kuvunja mkataba??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndio shida. Angebaki ila aombe wambadilishie meneja. Yule si wa hadhi ya kukosa ubalozi hadi sasa. Ni uzembe tu.ana million 600 ya kuvunja mkataba??
nongwaHata Shilole nae alikuwaga balozi wa CRDB
akapata mihela miiiingi….akafungua mgahawa
[emoji2] kuna haja ya kufanya utalii tukamuone ngamia wa poriniNimekuhurumia aisee punguza wivu hayo mambo hayakufati nyumbani ukiwa umelala.
Ngamia wa porini wewe
sipati picha blaza diamond alivyonuna
jamaa ni selfish , hata kama mtu yupo chini yako muache afaidike na kazi yake
..
Sent using Jamii Forums mobile app
what a word broh.Je wajuwa kwamba wcb ata lije dili la kondomu lazma apewe mkuuu dai ??...je wajuwa kwamba hakuna msani wa wcb anatakiwa kupewa show ya pesa nyingi kuliko dai ??? Je wajuwa kama nyota ya harmonize imengaaa maradufu bada ya kutoka kule Je wajuwa kwamba rayvan nyegezi na wasani ote wa wcb hakuna ata mwenye dili la asas ao kondomu ...jifikiriy kwanini ...domo analamba ata dili la sabuni za unga haachi kitu ..harmo kaona mbali ... puvu rukhsaaaaa [emoji6][emoji6][emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani innocent dependent anasemaje?Ndo mana akuna msani mwenye dili pale wcb ..yeye tu kalamba hadi dili za sabuni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji6][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu kiba angekuwa wa kufutika kitaambo angeishasahaulika.We don't write sh*ts here bro.
Harmonize is a WCB artist ila kinachoendelea kinaitwa kufanya Biashara na vipofu.
Hata Rock nation hawakumuachia Kanye kwa pesa ndogo kama mnayoaminishwa kwa Harmonize tena Rock hata hawakumtoa walimkuta yupo vizuri.
Harmonize ni asset na alishakua kiasi cha kuweza kufanya kazi nje ya mother label ila kwa usimamizi wa label, faida ya kufanya hayo ni nini?
1. Pesa zitaingia zaidi.
2. Watatengeneza asset mpya Zuchu.
3.Wataua carrier ya Alikiba Kabisa 4. Ushindani utakuwa WCB vs WCB
Watu wanaakili ya pesa hawakai kijinga jinga wanalala, wanaamka, wanakaa, wanatembea wakiwaza mamilioni ya pesa ndugu yangu wewe unawaza laki ngapi?
Duh nitarukaImagine umekaa kwenye daladala, abiria mwenzako anaanza kukupa story jinsi alivyotoroka hospitali, Amana!!!