Harmonize bwana anakataa pema, pabaya panamuita

Maelau

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,366
Reaction score
1,342
Amepata mke wa kizungu ambaye yuko siriazi na penzi na ambaye anamsapoti sana kwenye kazi zake za muziki, ikiwemo suala zima la kifedha. Kijana anaamua kumuumiza mkewe kwa kurekodi wimbo wa bedroom ambao si vibaya, lakini video ile kwa mke lazima iumize sana roho yake. Na kwa kuwa kumekuwa na tetesi za kutoka na mcheza show mwenyewe (video xizen) basi inazidisha machungu sana ukichanganya na aina ya picha.

Nimshauri tu dogo asikubali kumpoteza Mzungu wake kwa ajili ya bongo stars ambao watamkimbia pindi mkwanja ukipiga chenga.

Karibuni kwa maoni.

Povu ruksa.
 
Yaani wewe mpuuzi kabisa. Sara ndio mshauri mkuu wa kazi za harmo. Hata it video alikuwepo wakati wa kuihariri. Usituletee wivu wa kitopolo
 
Kwa taarifa yako sarah alikuepo wakati hiyo Video inashutiwa.
 
Yaani wewe mpuuzi kabisa. Sara ndio mshauri mkuu wa kazi za harmo. Hata it video alikuwepo wakati wa kuihariri. Usituletee wivu wa kitopolo
Kwani umeshindwa kutoa maoni bila matusi yakhee? Hii inaashiria malezi yako hayakuwa mema. Au umelelewa katika familia ambayo matusi kati ya baba na mama yalikuwa ni kitu cha kawaida. Pole sana ndugu kwa kuumizwa na mada yangu iliyopelekea wewe kutoa matusi.
 
Hivi pacha wake Harmorapa amekufilia wapi siku hizi?
Maana wakikutana pamoja Harmonize na Harmorapa hua wanajiita Harmodarby
 
Hivi pacha wake Harmorapa amekufilia wapi siku hizi?
Maana wakikutana pamoja Harmonize na Harmorapa hua wanajiita Harmodarby
huyo Harmorapa si alikuwa kaolewa kenya au?
 
Sema ule mzigo nao sio wa spoti spoti!
 
Watu wakiona mzungu tu wanajua ni tajiri.
 
Aisee nimecheka, kuna jamaa kaonyeshwa kwenye Azam TV kadai watanzania wanakufa njaa huko South Africa kwasababu ya Lock down. Sasa kuna wajuba wamekanusha vibaya na wamempa siku 3 kukanusha kauli zake na kuomba msamaha, au utapitishwa hukumu ya kibaharia. Sasa nacheka hii hukumu ya kibaharia iko vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…