Amepata mke wa kizungu ambaye yuko siriazi na penzi na ambaye anamsapoti sana kwenye kazi zake za muziki, ikiwemo suala zima la kifedha. Kijana anaamua kumuumiza mkewe kwa kurekodi wimbo wa bedroom ambao si vibaya, lakini video ile kwa mke lazima iumize sana roho yake. Na kwa kuwa kumekuwa na tetesi za kutoka na mcheza show mwenyewe (video xizen) basi inazidisha machungu sana ukichanganya na aina ya picha.
Nimshauri tu dogo asikubali kumpoteza Mzungu wake kwa ajili ya bongo stars ambao watamkimbia pindi mkwanja ukipiga chenga.
Karibuni kwa maoni.
Povu ruksa.
Nimshauri tu dogo asikubali kumpoteza Mzungu wake kwa ajili ya bongo stars ambao watamkimbia pindi mkwanja ukipiga chenga.
Karibuni kwa maoni.
Povu ruksa.