Harmonize - Hainistui (Official Audio)

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
14,624
Reaction score
20,666

Kazi nyingine toka kwa hamo, Je unaipa alama ngapi kati ya 10?
OFFICIAL VIDEO
 
Jamani WCB itabaki pale top tu,Harmonize alipokua WCB alikua real super hit maker,sasa hivi karudi kama underground anae kuja vizuri.

Yani yupo kuimba vijembe tu sikiliza Kushoto kulia then njoo sikiliza hii Hainistui utagundua huyu kijana Kutoka WCB kume muathiri pakubwa mno mno.

Hivi harmonize ni wakuimba nyimbo kama Hainistui??????? Enock bella ataimba nini sasa??? muache aendelee ndio kashavurunda tena.

nyimbo mbovu kama hizo wenzake wanazivujisha wanajifanya hata hawajui zimetokaje,yeye anaachia rasmi kbsa anatia youtube huko, shauri lake.
 
cha ajabu hata haimshtui
 
Bado ajajifunza
 
Track ni ya ovyo plus kuiga Melody za wasanii wengine ngojea Mr nice adai hapo haki ya kazi yake ndo patakuwa patamu hapo.
Track ni ya ovyo plus kuiga Melody za wasanii wengine ngojea Mr nice adai hapo haki ya kazi yake ndo patakuwa patamu hapo.
fursa hiyo tayari kwa mr nice kufanya remix na hamo
jicho la tatu hilo,nice akiwa mjanja anaweza fufukia kimuziki kupitia ngoma hii
 
Ngoma kali sanaa.. Jamaa toka awaone wasafi ni wepesi km karatasi basi ski hz n mangoma tu.. Kweny show mtakuja tu.. tena show za one man army.. achana na yule anaita wasanii mia halafu anajidai wananchi wamemfata yeye pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…