Harmonize - Hainistui (Official Audio)

Harmonize - Hainistui (Official Audio)

Sijaipenda

Siyo nzuri yaan sijaifurahia tu

Wala sina sababu, ishiiiiiii sasa sijaipenda tu kwani lazima

Sijaipenda


Ivi yule msukuma wa kwenye cheka show anaitwaga nani? Huwaga ananifurahisha sana huyo jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Rushambulu
sijafurahishwa nayo kwakweli hata mi sijaipenda msinilazimishe[emoji23]... nyoko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo sjui mond mnayemsifu hapa amefanya nini mwaka ulopita?

Yope si idea yake..

The1 kakopy.

Baba lao kakopy..

Sound ndio inshajifia..

Ukweli ni kwamba kibongo bongo tunawasanii dhaifu sana.. Swala la ubunifu ni Zerooo..

Waacheni wasanii dhaifu wapambane na udhifu wao.. Hoja za kusema sijui nani bora ni upuuuzi mtupu...

Ndio maana 99.9999% hawawezi imba na live band mwanzo mwishoo..
 
Tuweke source ya alipo copy kunogesha habari yako ..kama huna utakua mmoja ya wale wajinga wa King kaka
Huyo sjui mond mnayemsifu hapa amefanya nini mwaka ulopita?

Yope si idea yake..

The1 kakopy.

Baba lao kakopy..

Sound ndio inshajifia..

Ukweli ni kwamba kibongo bongo tunawasanii dhaifu sana.. Swala la ubunifu ni Zerooo..

Waacheni wasanii dhaifu wapambane na udhifu wao.. Hoja za kusema sijui nani bora ni upuuuzi mtupu...

Ndio maana 99.9999% hawawezi imba na live band mwanzo mwishoo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwenye lyrics aweke hapa tuchambue
Hainistui Lyrics – Harmonize

Intro chorus

Yaaweya, Jeshi
Konde Boy

Hainistui, Hainistui, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Kuna wenzako watakuroga , Hainistui
Au nawe ushaoga, Hainistui
Maana hunaga uoga, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui

Verse One
Eeeh, leo nimepata kesho nimekosa
Kazi ya mola haina makosa
Huyu kampa boda mwingine verosa
Vuta subiri ngoja mungu hajakutosa

Majunga fitina na na
Sigeuze changamoto
Maneno machanina na na
Dawa ya moto ni moto
ooh nana na

Wako waliosema Konde atapotea
Konde atapotea
Jembe katia gear chogo hiyo inapepea
Chogo inapepea

Nina kula kwa jasho oo oo
Nipatacho naridhika
Nasubiri kesho oo oo
zamu yangu itafika
Nenda waambie

Chorus
Hainistui, Hainistui, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Wenzako wanakuchukia, Hainistui
Tena wamepanga kukubania, Hainistui
Isitoshe wao ni matajiri, Hainistui
Usijali we tumia tu akili, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui

Verse Two
Sinanga sifa za kujisifu najua
Kila kukicha kwa mungu naomba dua
Hustle nazidisha ili nizidi tusua
Wakinifunika kesho nitawafunua

Tena waambie ee ee
Mchanga hauzikwi
Unaubadilisha makazi
Huwezi ziba riziki
Bure utajipa kazi

Nina kula kwa jasho oo oo
Nipatacho naridhika
Nasubiri kesho oo oo
zamu yangu itafika
Nenda waambie

Chorus
Hainistui, Hainistui, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Mwana anakula tungi mbaya, Hainistui
Yule dada anadanga malaya, Hainistui
Ataishia pabaya, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui

Verse Three
Ina ina ina
Inauma ila itabidi wazoee
Inauma ila itabidi wazoee
Wakimwona dodo na chopper
Inauma ila itabidi wazoee
Sikuhizi konde gange wanatuogopa
Inauma ila itabidi wazoee
Hamza
Kwako mwalimu kashasha

Credit: Harmonize
 
Back
Top Bottom