Harmonize - Hainistui (Official Audio)

Harmonize - Hainistui (Official Audio)

Huyo unaemsema Keshajifia anatembele Kik za kurudia Idea ya Nyimbo za watu, katoa Sound Imebuma

Yope
Baba Lao, ni Idea za Watu wengine Sound Idea yake Imshapotea mtaani
Sound ipi iliobuma ? Tayari 4M viewers youtube huku mtaani unapigwa vibaya mno ile prokoto prokoto hatar
 
Hainistui Lyrics – Harmonize

Intro chorus

Yaaweya, Jeshi
Konde Boy

Hainistui, Hainistui, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Kuna wenzako watakuroga , Hainistui
Au nawe ushaoga, Hainistui
Maana hunaga uoga, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui

Verse One
Eeeh, leo nimepata kesho nimekosa
Kazi ya mola haina makosa
Huyu kampa boda mwingine verosa
Vuta subiri ngoja mungu hajakutosa

Majunga fitina na na
Sigeuze changamoto
Maneno machanina na na
Dawa ya moto ni moto
ooh nana na

Wako waliosema Konde atapotea
Konde atapotea
Jembe katia gear chogo hiyo inapepea
Chogo inapepea

Nina kula kwa jasho oo oo
Nipatacho naridhika
Nasubiri kesho oo oo
zamu yangu itafika
Nenda waambie

Chorus
Hainistui, Hainistui, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Wenzako wanakuchukia, Hainistui
Tena wamepanga kukubania, Hainistui
Isitoshe wao ni matajiri, Hainistui
Usijali we tumia tu akili, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui

Verse Two
Sinanga sifa za kujisifu najua
Kila kukicha kwa mungu naomba dua
Hustle nazidisha ili nizidi tusua
Wakinifunika kesho nitawafunua

Tena waambie ee ee
Mchanga hauzikwi
Unaubadilisha makazi
Huwezi ziba riziki
Bure utajipa kazi

Nina kula kwa jasho oo oo
Nipatacho naridhika
Nasubiri kesho oo oo
zamu yangu itafika
Nenda waambie

Chorus
Hainistui, Hainistui, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui
Mwana anakula tungi mbaya, Hainistui
Yule dada anadanga malaya, Hainistui
Ataishia pabaya, Hainistui
Apa nilipo kesho yangu siijui

Verse Three
Ina ina ina
Inauma ila itabidi wazoee
Inauma ila itabidi wazoee
Wakimwona dodo na chopper
Inauma ila itabidi wazoee
Sikuhizi konde gange wanatuogopa
Inauma ila itabidi wazoee
Hamza
Kwako mwalimu kashasha

Credit: Harmonize
Bwana mdogo anajihami mwenyewe aache uoga
 
Kumbe na INAMA alicopy?? af na yenyewe ikabuma.???
Tz hakuna wa kumlinganisha na Mond katika swala zima la mziki. Muonekano wote wa bongofleva tangu 2009~present na kukua kwake umebebwa na Diamond Platinumz na WCB yake.Na ndio maana siku zote msanii anapata kiki zaidi pale anapotaka kuichallange WCB.Unajua ni kwanini.??? Ni kwasababu wapenz wa mziki watampa attention kubwa ili kujua ana kipi kikukwa kuliko WCB, Konde mwnyew analijua hilo ndo maana anaforce sana kuwa hasimu wa Mond.
Umeongea Pumba tupu, Huo Mond Wako kila kukicha anatafuta Kik kwa Kiba..

Ebu taja wasanii wanaotafuta Kik kwa Wcb au Unabwabwa tu kama umetapika ulimi
 
Umeongea Pumba tupu, Huo Mond Wako kila kukicha anatafuta Kik kwa Kiba..

Ebu taja wasanii wanaotafuta Kik kwa Wcb au Unabwabwa tu kama umetapika ulimi
Siku nyingine watu wakikusikia unasema hivyo watu watakudharau.
 
Kati ya wasanii watano duniani,jeee kuna msanii hajawahi kurudia Melody?anza na Dr.Dre,Diddy,2 pac,Nas,Eminem n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu Sio kurudia Melody je kunamakubaliano yamefanyika before kutumia kazi ya mtu isijeikatokea Kama ngoma yake ya uno kumuibia yule mkenya.
 
Jembe ni jembe asome hapa bado mapema.. wamuokoe Huyu kijana. Nyimbo ni mbovu sana
Jamani WCB itabaki pale top tu,Harmonize alipokua WCB alikua real super hit maker,sasa hivi karudi kama underground anae kuja vizuri.

Yani yupo kuimba vijembe tu sikiliza Kushoto kulia then njoo sikiliza hii Hainistui utagundua huyu kijana Kutoka WCB kume muathiri pakubwa mno mno.

Hivi harmonize ni wakuimba nyimbo kama Hainistui??????? Enock bella ataimba nini sasa??? muache aendelee ndio kashavurunda tena.

nyimbo mbovu kama hizo wenzake wanazivujisha wanajifanya hata hawajui zimetokaje,yeye anaachia rasmi kbsa anatia youtube huko, shauri lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom