Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kwahiyo unaenda kumwambia mtu eti nicopy kazi yako!Ishu Sio kurudia Melody je kunamakubaliano yamefanyika before kutumia kazi ya mtu isijeikatokea Kama ngoma yake ya uno kumuibia yule mkenya.
Huo ndo unyonyaji wa mchana kweupe. Kisa eti unamlipa .
Una ushahidi gani kuwa harmonize alimuibia yule mkenya?. Mkenya mwenyewe mwizi yule siku zile zile alikamatwa kwa wizi.
Acha ujinga