Harmonize - Hainistui (Official Audio)

Harmonize - Hainistui (Official Audio)

Uno kaimba la mama domo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamani WCB itabaki pale top tu,Harmonize alipokua WCB alikua real super hit maker,sasa hivi karudi kama underground anae kuja vizuri.

Yani yupo kuimba vijembe tu sikiliza Kushoto kulia then njoo sikiliza hii Hainistui utagundua huyu kijana Kutoka WCB kume muathiri pakubwa mno mno.

Hivi harmonize ni wakuimba nyimbo kama Hainistui??????? Enock bella ataimba nini sasa??? muache aendelee ndio kashavurunda tena.

nyimbo mbovu kama hizo wenzake wanazivujisha wanajifanya hata hawajui zimetokaje,yeye anaachia rasmi kbsa anatia youtube huko, shauri lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nina mashaka na uwezo wake kwenye muziki, nafikiri anapaswa kutoa nyimbo kama kumi hivi ili apate hit song moja
 
Jamani WCB itabaki pale top tu,Harmonize alipokua WCB alikua real super hit maker,sasa hivi karudi kama underground anae kuja vizuri.

Yani yupo kuimba vijembe tu sikiliza Kushoto kulia then njoo sikiliza hii Hainistui utagundua huyu kijana Kutoka WCB kume muathiri pakubwa mno mno.

Hivi harmonize ni wakuimba nyimbo kama Hainistui??????? Enock bella ataimba nini sasa??? muache aendelee ndio kashavurunda tena.

nyimbo mbovu kama hizo wenzake wanazivujisha wanajifanya hata hawajui zimetokaje,yeye anaachia rasmi kbsa anatia youtube huko, shauri lake.
Ila baba lao ni ujumbe tupu au siyo mipasho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi umejaa mihemko na chuki...
Twende kwenye ukweli nyimbo sio mbaya wala nzuri ni ya kawaida.Sema kijana biti ni ya mr nice na mwanzo wa nyimbo ni kama style ya yule jamaa aliemshirikisha shishi (nikagongee banana).

Hii style ya mziki wa kuungaunga ka copy kwa baba yake uko kwenye kundi la wasafi.Sasa sion sababu ya kumnanga wakati ndio asili yao.Mbona babake anaimba sana taarabu!!!Angalia nyimbo zake kama baba lao!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm sio mpenz wa wcb wala harmonize ila nilichogundua wcb wanateseka sana kijana harmo kufanya vitu vikubwa na hawakutarajia kuyaona haya,,mbona mond anaimba matus kila kukicha lakin watu mnasifia balaa ,ndo maana me naamin mond ni mjenz huru maana amewapumbaza mamburura kibao kila kitu ni naam /yes.kwa hapa harmo katoa ngoma nzuri kabisa japo sio shabik wa haya mambo hasa hawa wcb ,me napenda bongo fleva ya zaman tu hata ukija kwangu huwez kuta playlist za kihun namna hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2017 Aslay alikuwa anatoa hits back to back.. alishine sana

Akaanza kutoa ngoma za kawaida back to back...

mpaka leo anachukuliwa kuwa msanii wa kawaida tuu kutoka kuwa msanii mwenye solo hits zaidi 2017..

Ndicho kinachoenda kumkuta Harmonize....

Ngoma mbovuu sana, style za kuimba na mashairi ni zilezile...

zinabebwa na upepo tuu wa kushindanishwa na WCB

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We Kweli kilaza Kwaiyo Ubora wa nyimbo unapima You tube? Huku You tube kuna Mambo ovyo Ovyo yana Views kibao
Nimekwambia mtaani unapigwa vibaya mno kijana huku , sasa kama utaki platform kama Youtube itoe taswira ya nyimbo ilivyo unataka kitu gani , labda uniambie wewe unatumia KIPIMO GANI kujua hii nyimbo imebuma ?
 
Harmonize kuimba hivi labda ndio target ya biashara tuseme. Kwa lugha nyingine tunaweza kusema ananunua bifu au analeta sura ya kutia huruma ili apate support kutoka kwa watu fulani. Lakini mpaka leo mimi bado sijaamini kwamba Diamond anamchukia huyu mjomba
 
Mm sio mpenz wa wcb wala harmonize ila nilichogundua wcb wanateseka sana kijana harmo kufanya vitu vikubwa na hawakutarajia kuyaona haya,,mbona mond anaimba matus kila kukicha lakin watu mnasifia balaa ,ndo maana me naamin mond ni mjenz huru maana amewapumbaza mamburura kibao kila kitu ni naam /yes.kwa hapa harmo katoa ngoma nzuri kabisa japo sio shabik wa haya mambo hasa hawa wcb ,me napenda bongo fleva ya zaman tu hata ukija kwangu huwez kuta playlist za kihun namna hii

Sent using Jamii Forums mobile app
Niambie kwenye hiz ngoma za mondi alizotoa mwaka Jana Kuna matusi wapi? The one, inama, yope remix,baba lao, sound, na kanyaga.
 
my baby 🍅 Sweet like 🥭 ooooooh 😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom