kwa comment hii na 'likes' ilizopata, natoa ushauri jukwaa hili watu watupie tu mapambio ya diaomond.....maana wengine km huyo harmonize na kiba hawatakiwi humu. yaani 'HAINISTUI' ni mbaya na 'BABA LAO' ni bonge la wimbo?!!!!!!!!!Jamani WCB itabaki pale top tu,Harmonize alipokua WCB alikua real super hit maker,sasa hivi karudi kama underground anae kuja vizuri.
Yani yupo kuimba vijembe tu sikiliza Kushoto kulia then njoo sikiliza hii Hainistui utagundua huyu kijana Kutoka WCB kume muathiri pakubwa mno mno.
Hivi harmonize ni wakuimba nyimbo kama Hainistui??????? Enock bella ataimba nini sasa??? muache aendelee ndio kashavurunda tena.
nyimbo mbovu kama hizo wenzake wanazivujisha wanajifanya hata hawajui zimetokaje,yeye anaachia rasmi kbsa anatia youtube huko, shauri lake.
kwamba 'hainistui' imejaa mipasho na 'baba lao' haina?!!!!!! hii dunia hii......nilitarajia mambo namna hii niyasikie huko mtaani, kumbe yapo hadi humu kwa 'great thinkers'?!!!!!
kumbe ni kweli watz bado sana sababu tuna 'husda' ile mbaya......
namtabiria makubwa harmonize.......chuki humuinua mtu wakati mwingine sababu malaika wema humlinda anayehujumiwa!.....ingawa mashetani pia hushinda wakati mwingine!