Harmonize hajafanya ubaya

Harmonize hajafanya ubaya

Kwa nini kuondoka Harmonize mnachukulia kama vita.Mimi mwenyewe nafurahi Harmo kujitegemea mwenyewe ,tatizo je amejipanga kwa fitina ?Usimwone Mondi ana shine jua nyuma ana watu wanampigania je yy anao?Kama anao ni kitu kizuri kama hana yy ndiye atakaye umia.Msimwone Belle 9 yupo kimya mkazani hana uwezo bali hana watu wakuupigania mziki wake.
Kuwa chini ya label ni kitu kizuri sana ,haswa kwa wenzetu US,Drake yule pamoja na kuwa na utajiri mkubwa,label yake ya OVO lakini bado yupo chini ya YCMB,we unazani kwa nini Drake hajaondoka YCMB label ya Lil Wyne na Birdman?

Kanye west ana label ya Good Life,ana brand ya Yeezy ambayo thamani yake ni zaidi ya USD 1 bilion,lakini pamoja na utajiri wake bado yupo chini ya Roc Nation ya Jay Z,hujajiuliza kwa nini Kanye bado yupo chini ya Roc nation?

Rihanna sasa hivi networth yake USD 600m baada kama ya miaka mitatu au miwili atakuwa na USD 1bil ,lakini bado yupo chini ya Roc Nation ya Jay Z,wewe unazani kwanini Rihanna,Drake,Kanye West na hata Nick Minaj pamoja na utajiri wao lkn bado wapo chini ya label?

Label zina umuhimu wake sana sababu katika Industry hizi za Music kuna FITINA na KUBANIANA ,kwani kuna watu wakali lkn hawana watu wa kupush mziki wao.

Miaka ya nyuma kulikuwa na mwanamziki wa RnB Bob Valentino alivuma sana alipokuwa chini ya DTP Ludacris,baadaye akaondoka akamwambia Luda anataka kujitegemea,baada ya hapo Bob V akapotea mazima.
Vile vile kulikuwa na Rapper Chingy nae alikuwa DTP akazinguana na Luda,akwambia yeye anaondoka anataka kujitegemea Ludacris kamruhusu nae akapotea mazima
na nasikia hata Runtown wa Nigeria kapotea baada ya kuondoka kwenye Label.

Kuanzisha label au kujitegemea sio swala baya kwani hata yy anaweza wafungulia mlango wengine,lkn je amejipanga,mziki huu mgumu kwani umejaa fitina ,unahitaji watu wanaojua industry ili upush kazi zako.

Na ndio maana pamoja na kuwa na mihela yao wakina Rihanna,Kanye,Drake na Nick Minaj bado wapo chini ya Label.

Na Mziki wa Tz sasa hivi una hali mbaya yaani washikadau wamewagawa mashabiki,siku hizi team za kwenye mziki wetu,hazina utofauti na ushabiki wa Simba na Yanga,ili upate support unatakiwa uwe ndani ya hizi team,ukiwa nje umekwisha mfano tu Baraka da prince na Mavoko tushaanza kuwasahau.
 
Kwa nini kuondoka Harmonize mnachukulia kama vita.Mimi mwenyewe nafurahi Harmo kujitegemea mwenyewe ,tatizo je amejipanga kwa fitina ?Usimwone Mondi ana shine jua nyuma ana watu wanampigania je yy anao?Kama anao ni kitu kizuri kama hana yy ndiye atakaye umia.Msimwone Belle 9 yupo kimya mkazani hana uwezo bali hana watu wakuupigania mziki wake.
Kuwa chini ya label ni kitu kizuri sana ,haswa kwa wenzetu US,Drake yule pamoja na kuwa na utajiri mkubwa,label yake ya OVO lakini bado yupo chini ya YCMB,we unazani kwa nini Drake hajaondoka YCMB label ya Lil Wyne na Birdman?

Kanye west ana label ya Good Life,ana brand ya Yeezy ambayo thamani yake ni zaidi ya USD 1 bilion,lakini pamoja na utajiri wake bado yupo chini ya Roc Nation ya Jay Z,hujajiuliza kwa nini Kanye bado yupo chini ya Roc nation?

Rihanna sasa hivi networth yake USD 600m baada kama ya miaka mitatu au miwili atakuwa na USD 1bil ,lakini bado yupo chini ya Roc Nation ya Jay Z,wewe unazani kwanini Rihanna,Drake,Kanye West na hata Nick Minaj pamoja na utajiri wao lkn bado wapo chini ya label?

Label zina umuhimu wake sana sababu katika Industry hizi za Music kuna FITINA na KUBANIANA ,kwani kuna watu wakali lkn hawana watu wa kupush mziki wao.

Miaka ya nyuma kulikuwa na mwanamziki wa RnB Bob Valentino alivuma sana alipokuwa chini ya DTP Ludacris,baadaye akaondoka akamwambia Luda anataka kujitegemea,baada ya hapo Bob V akapotea mazima.
Vile vile kulikuwa na Rapper Chingy nae alikuwa DTP akazinguana na Luda,akwambia you anaondoka anataka kujitegemea Ludacris kamruhusu nae akapotea mazima
na nasikia hata Runtown wa Nigeria kapotea baada ya kuondoka kwenye Label.

Kuanzisha label au kujitegemea sio swala baya kwani hata yy anaweza wafungulia mlango wengine,lkn je amejipanga,mziki huu mgumu kwani umejaa fitina ,unahitaji watuwanaojua industry ili upush kazi zako.

Na ndio maana pamoja na kuwa na mihela yao wakina Rihanna,Kanye,Drake na Nick Minaj bado wapo chini ya Label.

Na Mziki wa Tz sasa hivi una hali mbaya yaani washikadau wamewagawa mashabiki,siku hizi hizi team za kwenye mziki wetu,hazina utofauti na ushabiki wa Simba na Yanga,ili upate support unatakiwa uwe ndani ya hizi team,ukiwa nje umekwisha mfano tu Baraka da prince na Mavoko tushaanza kuwasahau.
Point kali sana
 
Kwa nini kuondoka Harmonize mnachukulia kama vita.Mimi mwenyewe nafurahi Harmo kujitegemea mwenyewe ,tatizo je amejipanga kwa fitina ?Usimwone Mondi ana shine jua nyuma ana watu wanampigania je yy anao?Kama anao ni kitu kizuri kama hana yy ndiye atakaye umia.Msimwone Belle 9 yupo kimya mkazani hana uwezo bali hana watu wakuupigania mziki wake.
Kuwa chini ya label ni kitu kizuri sana ,haswa kwa wenzetu US,Drake yule pamoja na kuwa na utajiri mkubwa,label yake ya OVO lakini bado yupo chini ya YCMB,we unazani kwa nini Drake hajaondoka YCMB label ya Lil Wyne na Birdman?

Kanye west ana label ya Good Life,ana brand ya Yeezy ambayo thamani yake ni zaidi ya USD 1 bilion,lakini pamoja na utajiri wake bado yupo chini ya Roc Nation ya Jay Z,hujajiuliza kwa nini Kanye bado yupo chini ya Roc nation?

Rihanna sasa hivi networth yake USD 600m baada kama ya miaka mitatu au miwili atakuwa na USD 1bil ,lakini bado yupo chini ya Roc Nation ya Jay Z,wewe unazani kwanini Rihanna,Drake,Kanye West na hata Nick Minaj pamoja na utajiri wao lkn bado wapo chini ya label?

Label zina umuhimu wake sana sababu katika Industry hizi za Music kuna FITINA na KUBANIANA ,kwani kuna watu wakali lkn hawana watu wa kupush mziki wao.

Miaka ya nyuma kulikuwa na mwanamziki wa RnB Bob Valentino alivuma sana alipokuwa chini ya DTP Ludacris,baadaye akaondoka akamwambia Luda anataka kujitegemea,baada ya hapo Bob V akapotea mazima.
Vile vile kulikuwa na Rapper Chingy nae alikuwa DTP akazinguana na Luda,akwambia yeye anaondoka anataka kujitegemea Ludacris kamruhusu nae akapotea mazima
na nasikia hata Runtown wa Nigeria kapotea baada ya kuondoka kwenye Label.

Kuanzisha label au kujitegemea sio swala baya kwani hata yy anaweza wafungulia mlango wengine,lkn je amejipanga,mziki huu mgumu kwani umejaa fitina ,unahitaji watuwanaojua industry ili upush kazi zako.

Na ndio maana pamoja na kuwa na mihela yao wakina Rihanna,Kanye,Drake na Nick Minaj bado wapo chini ya Label.

Na Mziki wa Tz sasa hivi una hali mbaya yaani washikadau wamewagawa mashabiki,siku hizi team za kwenye mziki wetu,hazina utofauti na ushabiki wa Simba na Yanga,ili upate support unatakiwa uwe ndani ya hizi team,ukiwa nje umekwisha mfano tu Baraka da prince na Mavoko tushaanza kuwasahau.
Mashabiki Wa harmonise cjui wafanye kumptishia huu ushauri.
Nakumbuka jeuri ya kijana anayepata balehe, akikasirika kidogo anasema naenda kujitegemea, wajifunze Kwa Yesu Kristo
 
Huko south Sudan hawaijuw wcb na amejaza kuliko mtuu yeyote Bongo ata wasafi festival haijawahi pata ... Yeye huwa haimbi nyegezi ao vumbi atatoboa tu
Kwan south Sudan walienda kumwangalia harmonize, hyo ilikuwa event ya kitaifa na ilikuwa free-entry...mpunga alipewa na serikali ya south Sudan, Nina mashaka na uwezo wa kondeboy kufight nje ya wcb, mziki wa tz una mambo mengi, fitina, ndumba, unafiki na kubaniana kwingi....
Mi naona afanye mipango yake, ajitanue awezavyo, apambane vya kutosha lakn asitoke nje ya WCB, asione kama wanamnyonya Sana, wamemtoa mbali na ni halali Yao kumfaidi mana na yeye anafaidika....konde mboy hawez kumfikia hata barnaba classic, lebel ndo inamnyanyua
 
Jama keshakuwa ameamuwa kukaaa kivyake ukiangalia kwa umakini yule sallam alikuwa anamleteya zarau sana ..harmo ata akitoka dogo yule anajituma sana na Ana sapoti kubwa sana inje na ndani ya inchi mana yeye sio muimbaji wa nyegezi ao vumbi ...ndo msani peke wa bongo anaye imbaga vya kueleweka tena vya mana jama kasimama imara ..haitaji wcb fan kwa kutoboa mana huko south Sudan kajaza na Kenya huwa anajaza so riziki agawa Mungu sio hivyo vi team uchwara vinavyo ongeya nonsense ... Harmonize atabaki kuwa Harmonize ... Dogo wametaka kumziwiya kutoa ngoma ..matatizo yote yalitokeya wakati wa ngoma za EP aliyo mshirikisha burnaboy inama na niteke ..wcb wamezichelewesha sana hadi ikawa ugomvi mana walikuwa hawataki mpinzani wa tetema na nyegezi ... Kiukweli Domo keshapata sana tu ila jama Ana tama sana ... Hadi goma lake lichache ndo aachiye wengine watowe ... harmonize ni level nyengine sio kama Kina rayvan na mbosso ...Jama yuko makini sana na ata washangaza sana .. ipo siku tutamuelewa ...Go go jeshi KondeBoy
Halina ubishi Harmonize ni msanii mkubwa tanazania kupita wote.
 
Siku akitoka WCB huyo harmonize atasahaulika.

Mjazeni kichwa Kama mlivyofanya kwa mavoko.Mziki ni zaidi ya kuwa na uwezo wa kufanya mziki mzuri, maana hata huyo Harmonize hawezi gusa Moto wa watu Kama Been pol na Belle 9. japo Kibiashara anawakimbiza.
mavoko hakuwa hata na collabo hapo Kenya unamlinganisha na harmonize?
 
Atoke apotee.... mi show yake siwezi kwenda kama hana wasanii wengine hasahasa wa WCB.
unaongea utazani kutokuenda kwako kutampa faida hasi wala chanya wewe kwake ni kama Pampas aliyoitupa Malaya alipomaliza MP.
 
ni kweli harmonize yuko vizuri sana

ila amekuzwa na kulelewa na WCB na Diamond, mkubwa ni mkubwa tu

Diamond naye kalelewa na kupata mpenyo kupitia Ali kiba na Bob junior

mnaendelea kutengeneza historia za watu kufarakana

He is better in WCB, maana nje ya jeshi yeye hajazoea....Harmonize hawezi hustle kama akin ASLAY, BARNABA n.k
Barnaba ni msanii?
 
Kwan south Sudan walienda kumwangalia harmonize, hyo ilikuwa event ya kitaifa na ilikuwa free-entry...mpunga alipewa na serikali ya south Sudan, Nina mashaka na uwezo wa kondeboy kufight nje ya wcb, mziki wa tz una mambo mengi, fitina, ndumba, unafiki na kubaniana kwingi....
Mi naona afanye mipango yake, ajitanue awezavyo, apambane vya kutosha lakn asitoke nje ya WCB, asione kama wanamnyonya Sana, wamemtoa mbali na ni halali Yao kumfaidi mana na yeye anafaidika....konde mboy hawez kumfikia hata barnaba classic, lebel ndo inamnyanyua
wewe jamaa kwangwaru jumlisha the uchafu wote wa barnaba
 
Jama keshakuwa ameamuwa kukaaa kivyake ukiangalia kwa umakini yule sallam alikuwa anamleteya zarau sana ..harmo ata akitoka dogo yule anajituma sana na Ana sapoti kubwa sana inje na ndani ya inchi mana yeye sio muimbaji wa nyegezi ao vumbi ...ndo msani peke wa bongo anaye imbaga vya kueleweka tena vya mana jama kasimama imara ..haitaji wcb fan kwa kutoboa mana huko south Sudan kajaza na Kenya huwa anajaza so riziki agawa Mungu sio hivyo vi team uchwara vinavyo ongeya nonsense ... Harmonize atabaki kuwa Harmonize ... Dogo wametaka kumziwiya kutoa ngoma ..matatizo yote yalitokeya wakati wa ngoma za EP aliyo mshirikisha burnaboy inama na niteke ..wcb wamezichelewesha sana hadi ikawa ugomvi mana walikuwa hawataki mpinzani wa tetema na nyegezi ... Kiukweli Domo keshapata sana tu ila jama Ana tama sana ... Hadi goma lake lichache ndo aachiye wengine watowe ... harmonize ni level nyengine sio kama Kina rayvan na mbosso ...Jama yuko makini sana na ata washangaza sana .. ipo siku tutamuelewa ...Go go jeshi KondeBoy
Sijui kwanini nimefananisha miandiko hii na kugundua kama mwandishi ni mtu mmoja
Screenshot_20190809-071813.jpeg
 
Harmonize hana uwezo wowote label inambeba kwanza sielewi kama anastyle yake mwenyew
 
wewe jamaa kwangwaru jumlisha the uchafu wote wa barnaba
Wewe unamjua Barnaba unamsikia, kasilikilize washa ya barnaba alafu ipe opportunity zote kama ilivyopewa kwangwaruu alaf urudi hapa, istoshe barnaba anaimba live na saut yake ni ileile kama unavoisikia kwenye audio ndo anavyoimba live, kitu ambacho harmonize hawez....harmonize aendelee kubaki WCB
 
Back
Top Bottom