masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Tena zote mbili zimeninginia anakwambia asipovaa anajisikia vbaya
Ni list kubwa wasani wanavaa heren,tena mbili na kuninginia
Ila huyu kijana kanishangaza
Eti hobi
Akihojiwa EATV katika kipindi cha Friday Night Live (FNL) msanii huyo akapata sapoti ya Dj Ommy Crayz nae anadai kuna siku alisahau kuvaa hereni akageuza gari kurudi kuvaa.