masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Tukisema walete mafuta mnauliza yann, asa mambo gan hiiTena zote mbili zimeninginia anakwambia asipovaa anajisikia vbaya
Ni list kubwa wasani wanavaa heren,tena mbili na kuninginia
Ila huyu kijana kanishangaza
Eti hobi
Hahahaha wamasai wameacha siku hziHobi kama wamasai 😀
Nimemskiliza hapa nikasema hvi kabla hajaanza kuimba hobi yake ilikua kuvaa nini?wanaume wa mtwara nao wamo
Kama wameacha basi hatuna chetu. Maana ilikua ndo tamaduni pekee iliyosalia afrikaHahahaha wamasai wameacha siku hzi
Ungemsikia ungesikitika walah...mperekee na mtandio...
Dah jangamwambie avae na kikuki mguuni
Na moka za kisigno kirefuWapewe na bangiri tu hamna namna
Tena kubwa sana kwa vijanaDah janga
Anakwambia hawezi bila hereniHata kupakuliwa napo atakuja kusema ni hobby
Vipi bangili je? hakuvaaUngemsikia ungesikitika walah
wanavaa kwa uchache haswa wakiwa wazeeKama wameacha basi hatuna chetu. Maana ilikua ndo tamaduni pekee iliyosalia afrika