Harmonize hii 'Niteke Remix' umeanza nayo vizuri ila umeharibu

Haaahaaa ngoja tusubir uno but kwahyo remix ngoja niendeleee kumsikilizaa marioo
 
Yani hamna aliyemwelewa muandika uzi watu wanaropoka tu cuz ya ushabiki!! Harmonize kweny hyo nyimbo kaiga kidokezo!! pale kweny nyimbo ya lanyaga mond alsema zombiiii then harmonize yy kaiga melody ila kasema jeshiii. Kosa kubwa alilofanya harmonize kweny career yake ni kumuiga mond saut!! Kweny hyo ngom kasound kama mond kila k2!! Jamaa ana mengi ya kuprove watanzania
 
Mwandishi aja kataa kuhusu jina..ila the way unavyo tamka ata kama jina ni lile lile kuna tofauti Flani lazima iwepo. ..[emoji1787]tatizo kwa uyu bwana mdgo kasound mule mule kaivuta kama #platnumz




NOTE::::::Nilivyo elewa na nilivyo sikia mimi..
Ww umenielewa mkuu hawa wengne wanaropoka tu
 
Huyo dogo kavimba kichwa na nowdays anasafilia bado upepo wa WCB ebooooooh time will tell
 
Zombiii si ni S 2 Kizzy ambae ndo Ka'produce iyo Song mzee baba!!Mbona ata Whozu Anasemaga Zombiii kwenye ngoma zilizotengenezwa na S2 kizzy mfano Dokoa,Tunavesha nk.
Eeeeeeeh ila tatizo kaiga namna diamond alivyo Sema kwenye kanyaga maana ajasema kwa real voice yake OK ebooooooh................!
 
Alitumia rafuzi ya diamond ila yeye hakutaja zombiiiiiii alitaja jeshiiiiiii

Diamond. = Zoombiiiiii

Harmonize = Jeeshiiiiii

Ila sio mbaya kumuiga bosi wake binafsi sioni tatizo hapo
 
Mshaanza kuumiza vichwa mapema hivi hahaha tulieni ndio kwanza ameanza.

#Kondegang.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…