Harmonize huku ni kulewa sifa sasa

Wimbo unaoongoza kwa kupigwa Tz according to 'CMEA East Africa' et umeusikia mara 1. Acha kutuchora tena usikute unaucheza kabisa.
Wallah naapa niliuona mara moja tena kidogo sana nikabadili channel.
Huwa sihangaiki kuangalia vitu vibovu.
 
nyie mnaomsema dogo ndo mnaonekana washamba..mnajifanya nyie ndo mnamachungu saaana na maisha ya diamond kwani yeye hayo yote hayasikii mbona diamond au management yake hawajasema chochote au nyie ndo mnajifanya mna maskio makubwa..mambo mengine ni kutafuta stress za bure watu wanatafuta kiki mjini hapa.nalengo ya dogo yanazidi kutimia.
 
Management ya WCB waliongea mbona mkuu ilibidi wakanushe baada ya dogo kuongea fyongo kuhusu Mavoko na Mavoko nae. Huoni kuwa anajenga image mbaya kuongea mambo ambayo hayako official?
 
Mkuu una uhakika gani kama management yake haijasema chochote??!! au ulitegemea management yake iende kwenye media iseme kuwa imemmind dogo?!! we subilia uone dogo atakavobehave kwenye interview zijazo ndo utajua kuwa management ilimkanya au lah!!
 
If WCB dont bother...
Why Should you....

Wivu wa kike.
 
Inabidi dogo akalishwe chini afundwe, na makwenzi juu ili aelewe!
 
Mkuu una uhakika gani kama management yake haijasema chochote??!! au ulitegemea management yake iende kwenye media iseme kuwa imemmind dogo?!! we subilia uone dogo atakavobehave kwenye interview zijazo ndo utajua kuwa management ilimkanya au lah!!
sasa kama dogo hakujua jinsi ya kubehave kwnye interviews ya nini kupiga kelele? hiyo ndo kazi ya management dogo akikosea anarekebishwa..pia yule bado dogo ki umri ki music na ki exposure..bado ana mengi ya kujinza dogo kama kafanya interview nyingi hazizidi 10.tuache management ifanye kazi yake.
 
If WCB dont bother...
Why Should you....

Wivu wa kike.
sure man pple got to know the boy is managed.!!letus judge his music and not how he behaves..and who knows may be ts a strategy.. tumeona ulaya uko watu wanafikia mpaka hatua ya kufukuza wake zao ilimradi tu wapate kick ama wauze album zao,itakua hyo ya huyo kusema diamond anakula xhakula kilichopikwa na mke wake.?
 
pple got to know the boy is managed........

Hapo juu ulikuwa unamanisha nini kwa kiswahi tafadhari naweza kukuelewa
 
Dogo hajielewi kabisa... hata kuimba kwenyewe anaiga tu kwa Nguli Dangote...!
 
Uelewe kitu kimoja Kuna Formal Education na Informal education na katika informal Education siyo kila kitu lazima Uambiwe au ufundishwe sometime inakubidi uwe na Akili ya kujiongeza

Huwezi kuna nambia kila kitu mpaka managment yake ndo imwambie,sio kila kitu lazima afundishwe na Managment yake,Lazima ifike mda awe anajiongeza na Anapangilia maneno yake wakati wa kuongea Yeye alipo pale ana Mashabiki wake ambao hata afanye baya lipi wataona yuko sawa sasa lazima awe makini katika kila analofanya na Kuliongea

Hawezi kukaa mda wote akasubiri Managment imwambie kwa kila baya atakalo kuwa anafanya anasubiri managment imwambie hapana sometime managment inaweza kuamua kukaa kimya isiseme chochote kwasababu Kukaa kimya nako nijibu zuri Tuu,ajifunze toka kwa watu walio mtangulia nini wanafanya!

Harmonize inatakiwa awe creative na add Value katika Creativity yake lakini akiwa creative tu bila kuadd value atakuja azingue! akisubiri managment imuonye kana kwamba yeye ni mtoto atashindwa

Angalia na vitu Vya kumtetea unapo ambiwa msanii ni kioo cha jamii uwe unaelewa Msanii wa mziki kazi yake Sio kuimba tuu.....

Hii ikufikie na wewe mkuu Usidhani kila kitu Mzazi/Mlezi wako atakwambia pindi ukikosea au atasemea kwenye vikao vya familia hapa sometime anaweza kukaa kimya!
 
mkuu naonay
mkuu kioo cha jamii unamaanisha nini?hii ni karne ya 21..wasanii wakubwa kama kina beyonce kabla ya kwenda kwnye interview uwa wanaambiwa mapema kipi waongee na kipi waache na watu wameajiliwa itakua huyo sijui harmonize...kama vipi kuwa manager wake bas maana unatokwa povu bure ...
 
Kiba anakuwasha kweli punguza kumuwaza mtoa post hajagusa hata kidogo coz haimuhusu kiba ila bi mzur ww tayar punguza kumuwaza utamuachanisha babako na mamako maana siku utaulizwa babako nani utajibu ALI KIBA.
Basi tufanye sio kiba tufanye akashindane na balozi
Haya naona utakuwa umeridhika mtoto mzuri
 
Ahsante kwa kuleta hii mada. Kweli huyu kijana analewa sifa. kuna siku nilikua naangalia interview yake na TBC 1. Nilishindwa kuelewa alichokua anaongea. Management yake inabidi imfundishe jinsi ya kuongea na kujibu maswali vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…