Uelewe kitu kimoja Kuna Formal Education na Informal education na katika informal Education siyo kila kitu lazima Uambiwe au ufundishwe sometime inakubidi uwe na Akili ya kujiongeza
Huwezi kuna nambia kila kitu mpaka managment yake ndo imwambie,sio kila kitu lazima afundishwe na Managment yake,Lazima ifike mda awe anajiongeza na Anapangilia maneno yake wakati wa kuongea Yeye alipo pale ana Mashabiki wake ambao hata afanye baya lipi wataona yuko sawa sasa lazima awe makini katika kila analofanya na Kuliongea
Hawezi kukaa mda wote akasubiri Managment imwambie kwa kila baya atakalo kuwa anafanya anasubiri managment imwambie hapana sometime managment inaweza kuamua kukaa kimya isiseme chochote kwasababu Kukaa kimya nako nijibu zuri Tuu,ajifunze toka kwa watu walio mtangulia nini wanafanya!
Harmonize inatakiwa awe creative na add Value katika Creativity yake lakini akiwa creative tu bila kuadd value atakuja azingue! akisubiri managment imuonye kana kwamba yeye ni mtoto atashindwa
Angalia na vitu Vya kumtetea unapo ambiwa msanii ni kioo cha jamii uwe unaelewa Msanii wa mziki kazi yake Sio kuimba tuu.....
Hii ikufikie na wewe mkuu Usidhani kila kitu Mzazi/Mlezi wako atakwambia pindi ukikosea au atasemea kwenye vikao vya familia hapa sometime anaweza kukaa kimya!