Siwezi kumuonea wivu mtu ambae kazi yake sikuwahi hata kuifikilia kama nitakuja ifanya hata kuota tuu sijawahi,ningekuwa msanii ndo ningemuonea wivu labda au ningekuwa nina hustle kutoka kimziki, yeye na mimi kazi zetu ni tofauti kabisa,labda kazini kwangu ndio nitawaonea wivu watu mle sababu nina endana nao
By the way katika mziki ujue kuna vitu vitatu kuna producer,kuna msanii mwenyewe na kuna mashabiki wote hawa wanategemeana mmoja akikosekana hiyo chain ina katika,so kama mshabiki kwa nafasi yangu naweza kutoa ushauri labda uniambie watoto wa kike ndo wanao ruhusiwa tuu kutoa ushauri nitakuelewa