Harmonize huna kipya cha kuwapa mashabiki, umeshakuwa mzigo jifunze kwa wenzio

Ngoma yake mupya ina view 2millions sasa nanyiy bado mnadis jama anagonga pesa wakati nyiy mnakula kaharo
Ndio nini hiyo na mie nikaitafute.....watu wanasahau kuna njia nyingi za kutoka kwa msanii mojawapo hiyo aliyoamua yeye na huenda mbele ya safari anaweza akabadilika maana nyimbo nyingi za wasanii wakubwa ni za kawaida sema tu wanakuwa wamejenga jina tayari zinaonekana kali hivyo hata yeye anatafuta mkwanja kwanza kwa kutumia style aliyoingilia then baadae hata akijaribu mbinu nyingine anakuwa yupo vizuri financially hata akichemsha
 
Ngoma yake mupya ina view 2millions sasa nanyiy bado mnadis jama anagonga pesa wakati nyiy mnakula kaharo
1,000,000 = 1,000US then 2,000,000 = 2,000US ( Tsh 4,000,000 ) mtu anaingiza zaidi ya MILIONI 4 Kwa wiki tu kupitia YouTube sisi tumekaa tunamjadili wakati siyo mwenzetu tena huyo
 
Kama anaweza kuchezesha mbuzi mziki najua mbuzi wanaelewa anachofanya kwenye muziki.
 
Ingawa mimi ni team WCB ila sijawahi kumkubali harmonize, yaan naona anaforce mziki tena anavyomuiga chibu ndiyo anazidi kuniboa.
Style anayoitumia Harmonize tangu awali ndiyo iliyomvutia Chibu kumsign under WCB sikia nyimbo zake kabla ya kuwa WCB kasuku na kidonda changu ndivyo anaimba mpaka sasa ingawa kuna vitu vimebadilika kidogo. Kama kumuiga Mond ndiyo kutoka mbona wengine wameshindwa ?
 
alafu Wcb wasivyojua kutambua vipaji yule Harmonise wanamthamini kuliko wanavyomthamini fundi Raymond
Mkuu kumbe n we umeliona ilo..... Rayvan yuko vzur sana tu, ingekua ni futbal player ktk team flan kam real madrid bs rayvan nngemfananisha n isco.... Yuko vzur sana dogo yule af hapapaliki, katulia yan... Anajiamini vilivyo, co kam hormonizer, ata wajina wake harmorapa
 
Cjui kama nakosea au ni mtazamo wangu kwenye show me mavoko kafunikwa sana mule
Mmakonde kamfunika Mavoko kwenye SHOW ME

Mavoko ana sauti nzuri sana, ila anakera na hii design yake anayoimba cku hz. . Hatoi sauti ikatoka
 
alafu Wcb wasivyojua kutambua vipaji yule Harmonise wanamthamini kuliko wanavyomthamini fundi Raymond
Mkuu kumbe n we umeliona ilo..... Rayvan yuko vzur sana tu, ingekua ni futbal player ktk team flan kam real madrid bs rayvan nngemfananisha n isco.... Yuko vzur sana dogo yule af hapapaliki, katulia yan... Anajiamini vilivyo, co kam hormonizer, ata wajina wake harmorapa

We endelea kupiga kelele huku mwenzio anajenga kwenye kiwanja chake

Ameshanunua gali 2 moja kashampa mama yake, tena kamtoa mtwara kamuamishia dsm

Akifanya show watu anajaza sio kenya tu hadi burundi

Kama haiingzi pesa haileti maana , sio lazima umshabikie harmonize wasanii wapo kibao
 
brother neno kibaya zaid lina maana gan coz naona umelitumia mala zaid ya 1 so kipi ni kibaya zaid sasa?,

kama ilivo kwenu wanasiasa huwa mnafanya lile linaloonekana kupendwa mna wengi na kupotezea wachache bhas elewa hata wasanii hufanya hivo so inawezekana kijana kapiga hesabu zake kaona mnaokeleka ni wachache kuliko wanaofulahia

mwsho,kijana kweli anakosea ila umezidisha chumvi,ww ngoja mtu aipake sisiemu yako umchalukie maana naona ubora wako upo katika kupigania chama
 
1,000,000 = 1,000US then 2,000,000 = 2,000US ( Tsh 4,000,000 ) mtu anaingiza zaidi ya MILIONI 4 Kwa wiki tu kupitia YouTube sisi tumekaa tunamjadili wakati siyo mwenzetu tena huyo
Mi nitoe jamaa. Sema sio mwenzako kwani unajua vipato vya wanajamii wote humu.
 
Diamond kaanzisha lebo ya WCB ili kuua vpaji vya wenzake. Ni mjanja sana, ameona ni kina nani wanahatarisha umaarufu wake na kisha kuwadhibiti. Vijana watapoteza vipaji vya hivihivi
 
Mi nitoe jamaa. Sema sio mwenzako kwani unajua vipato vya wanajamii wote humu.
Hakuna mwenye shughuli rasmi kabisa aliye busy na kuhangaika kukuza biashara yake atakuwa yuko busy kutukanana na kuzusha propaganda za siasa humu - wengi humu ni walimu, wauza maduka, majobless na wafuasi wa vyama vya siasa wasiojielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…