joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kufanana sauti sometime inatokea, sasa hivi ukimsikiliza Designer na Future, hawana utofauti wanafanana kila kitu na wote wanafanya vizuri. Vile ukimsikiliza Jidenna anavyoflow na Drake wanafanana lkn bado wote wanafanya vizuri kwa hiyo sioni kosa la harmonize Kufanana na diamond sometime inatokea kwa wenzetu kawaida, ila kwa wa bongo nongwa. Sasa sijui mnatakaje aache mziki kisa anafanana na diamond, alafu atakula wapi, sasa nyie pigeni kelele mwenzenu anaingiza ela, show kibao.