joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Sio poa ku'generalized' Mkuu, wengi wetu hatujuani humu. Tumia tu maneno ya busara.Hakuna mwenye shughuli rasmi kabisa aliye busy na kuhangaika kukuza biashara yake atakuwa yuko busy kutukanana na kuzusha propaganda za siasa humu - wengi humu ni walimu, wauza maduka, majobless na wafuasi wa vyama vya siasa wasiojielewa.
Hatujuani lakini huo ndio ukweli, huwezi kumkuta Edwin Bruno wa Smart Codes anabishana humu mambo ya CCM/BAWACHASio poa ku'generalized' Mkuu, wengi wetu hatujuani humu. Tumia tu maneno ya busara.
Mkuu hapo kwa jiddena na Drake naomba nirudishie change yangu.Kufanana sauti sometime inatokea, sasa hivi ukimsikiliza Designer na Future, hawana utofauti wanafanana kila kitu na wote wanafanya vizuri. Vile ukimsikiliza Jidenna anavyoflow na Drake wanafanana lkn bado wote wanafanya vizuri kwa hiyo sioni kosa la harmonize Kufanana na diamond sometime inatokea kwa wenzetu kawaida, ila kwa wa bongo nongwa. Sasa sijui mnatakaje aache mziki kisa anafanana na diamond, alafu atakula wapi, sasa nyie pigeni kelele mwenzenu anaingiza ela, show kibao.
Yule bibi kambadilisha mpaka rangi ya nywele.Kweli. Dogo anajisahau sana.akija kushtuka kumekucha.
Sina team yoyote ilee
gali - gariWe endelea kupiga kelele huku mwenzio anajenga kwenye kiwanja chake
Ameshanunua gali 2 moja kashampa mama yake, tena kamtoa mtwara kamuamishia dsm
Akifanya show watu anajaza sio kenya tu hadi burundi
Kama haiingzi pesa haileti maana , sio lazima umshabikie harmonize wasanii wapo kibao
Atakuwa kambadilisha na nyota piaYule bibi kambadilisha mpaka rangi ya nywele.
Sasa dully tunampataje, mwaka hapa jinsi ilivyoJamaa ana uwezo mkubwa ila kama humuelewi achana naye. Ukitaka kujua nguvu ya Harmonize muulize Dully Sykes - angekuwa hana impact tusingehangaika hata kumjadili hapa
yani kama usipo ona video uwezi jua kama anayeimba ni Harmonize ,,,Harmonize hana identity yeyote ile kwenye muziki wakewajua kuna ule wimbo matatizo mimi niusikiliza muda mrefu nikijua ni diamond mpaka mtu kanambia sio diamond...
hii itamuua mapema
Na ww umechangia...Tatizo ni kuibuka kwa kipaji kipya HARMO RAPPER..
Ndo maana kanabadili magari tu asa iv kamenunua audi1,000,000 = 1,000US then 2,000,000 = 2,000US ( Tsh 4,000,000 ) mtu anaingiza zaidi ya MILIONI 4 Kwa wiki tu kupitia YouTube sisi tumekaa tunamjadili wakati siyo mwenzetu tena huyo
Kwn aligombana na naniJamaa isitoshe alianza kuleta viugomvi Na kutafta kiki hiyo nayo imemharibia kinoma
Kwa hiyo na jay z alianzisha lebo kuua vpaji au msanii mwenye lebo ni domo tu dunia nzima?Diamond kaanzisha lebo ya WCB ili kuua vpaji vya wenzake. Ni mjanja sana, ameona ni kina nani wanahatarisha umaarufu wake na kisha kuwadhibiti. Vijana watapoteza vipaji vya hivihivi
YouTube, Shows, Mikito, Ringtones, Mitandaoni ya Nje kama Itunes, Wasafi.com, Endorsements. Yaani mtu unaweza kukuta kila dakika anaingiza MILIONI 2Ndo maana kanabadili magari tu asa iv kamenunua audi
Kweli kaka kajamaa wanakaponda lakini nashangaa hakapigi show lkn kananunua tu magariYouTube, Shows, Mikito, Ringtones, Mitandaoni ya Nje kama Itunes, Wasafi.com, Endorsements. Yaani mtu unaweza kukuta kila dakika anaingiza MILIONI 2