Harmonize, Huo ni Ushamba

Umeangalia angle moja tu ila je umeangalia angle ya Marketing mkuu....kuna mambo ya ajabu sana katika issue ya kutengeneza market ya kitu fulan....wewe unaweza kuona amekosea na amepotea ila kwenye suala zima la biashara na marketing ya bidhaa amehit bingo....
 
Hiyo style yako ya kumpa promo Mmakonde wako, imefanya kazi. Umewapata wengi sana. Hongera, ni ubunifu wa marketing.
Sasa tuje kwenye uhalisia. Huu wimbo ni coma cover version ya 'Ahh wapi' wa Wozhu. The way anavyo-sound mpaka kwenye video. Siyo mbaya, kajitahidi ila bado haijamfikia dogo wa Chuga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…