Harmonize in WCB

wewe kasikilize ile nyimbo anayoimba usenge niwe duka la vipodozi sjui toka hapa nikaona rayvan Hana tofauti na rafiki yake dudu baya
Inawezekana ameona nyimbo za kipumbavu ndio mashabiki mnazipenda kwa hyo akaona ajaribu hyo labda mtamuelewa.
Sasa Kama ameimba nyimbo ya kipumbavu halaf bado mnamgeuka basi washabiki hamueleweki mpo Kama sigara kali haieleweki nyuma wapi mbele wapi.
 
Hata Mimi swala la Ruby nimelizungumzia page ya nyuma bora hata wewe umeliona ataenda Lima korosho Na kupigania gesi uko umakondeni.
 
Mbona Rayvan ndio anaimba mistar ya kiutuuzima kuliko hao akina harmonize na domo nyimbo nzima utasikia kanyaga kanyaga,inama inama,tetema tetema,kiukwel hata sioni kinachoimbwa Mimi mwenzenu.
Mwanza ni wimbo wa Rayvanny ft Diamond baada ya kufungiwa wakaimba tetema ambayo NI ya Rayvanny ft Diamond,utasemaje Rayvanny haimbi matusi?
 
Inawezekana ameona nyimbo za kipumbavu ndio mashabiki mnazipenda kwa hyo akaona ajaribu hyo labda mtamuelewa.
Sasa Kama ameimba nyimbo ya kipumbavu halaf bado mnamgeuka basi washabiki hamueleweki mpo Kama sigara kali haieleweki nyuma wapi mbele wapi.
ila wewe ambae bado unaendelea kumshabikia kwa kumuonea huruma ndiyo mpumbavu.

note:shabiki hasaini mkataba.
 
ila wewe ambae bado unaendelea kumshabikia kwa kumuonea huruma ndiyo mpumbavu.

note:shabiki hasaini mkataba.
Simshabikii kwa kumuonea huruma ila kumbuka kosa moja haliachi mke.
Ila nyinyi mnaowashabikia wasanii kwa sababu ya majina lkn uimbaji wao ni wa kipumbavu mwanzo mwisho basi nyinyi ni wapumbavu wa viwango vya Stieglers gorge au upumbavu wenu ukipungua sana Basi ni wa viwango vya SGR au Bombadier.
 
kasikilize paranawe Harmonize ft rayvan uone utumbo wa uyo jamaa ako.
ukitaka kujua harmonize ni sayari nyingne kasikilize why ft benpol.
 
Natamani msaniii kama marioo awepo WcB jamaa anaaandika sana
 
ukweli mchungu rayvan hawezi kutoa hitsong bila kushirikiana na diamond akitia ni uchafu kama ile ya duka la vipodozi
lakini harmonize anaweza kusimama MWENYEWE na kutoa hitsong
Inashangaza sana nataka kujua uhusika was diamond kwenye hizi hit songs pochinene,kwetu,makulusa.hiyo VUMBI ft diamond ameimba utumbo mtupu
 
Rick Ross sijasikiloza nyimbo zake kipindi kirefu ila ninazo kadhaa mmoja unaitwa Stay Scheming beat nzito dunia nzima rick ross yumo ndani jingine Aston Martin Music

Mkuu huyo tipwa tipwa sio wa nchi hii,anaweza hadi anakera,na usiombe afanye colabo na mwanae Meek Mill,hatari sana hao watu
 
Inashangaza sana nataka kujua uhusika was diamond kwenye hizi hit songs pochinene,kwetu,makulusa.hiyo VUMBI ft diamond ameimba utumbo mtupu
vumbi ni NYIMBO ya kusema ni hit?
makurusa ni uchafu gani?
 
Wabongo wanafiki sana kitu wanachokiponda ndicho wanakipenda,eti nyimbo hazina ujumbe na anazijua nyimbo zote mpaka mpaka mistari yake.

Kama mziki ungekuwa ujumbe Kala Jeremiah ndio angekuwa The best kuliko wasanii wote,cha ajabu watu wanaomponda Rayvany ukiwambia kwa haraka haraka wakutajie nyimbo tatu za Kala Jeremiah hawazifaham lkn za Rayvanny wanazijua zote pamoja na kusema hazina meseji.
 
vumbi ni NYIMBO ya kusema ni hit?
makurusa ni uchafu gani?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ it's so shame uliwezaje kusema rayvanny bila mond hawezi ,ukitaka kujua makulusa in hit song kwa rayvanny fuatilia .hiyo vumbi sijai list mimi
 
[emoji23][emoji23][emoji23] it's so shame uliwezaje kusema rayvanny bila mond hawezi ,ukitaka kujua makulusa in hit song kwa rayvanny fuatilia .hiyo vumbi sijai list mimi
unataja takataka tu mkuu kwakweli naomba uishie hapo
 
SIMBA BINLADEN BUJUMBURA BURUNDI
 

Attachments

  • Subpost 1 - THE QUEUE TO MY SHOW IN BUJUMBURA BURUNDI.....LORD HAVE MERCY!! I RE ( 264 X 480 ).mp4
    1.6 MB
Habari za mda huu wakuu

Ivi nani anamzidi uyu Harmonize pale WCB? Harmo anakimbiza mpaka nnaona kama yeye ndo anaibeba WCB(kwa mtazamo wangu), na vipi kuhusu Mr Q-Chillah ka sign pale kwa Domo?
12 Marook Harmonize namwona kama sisimizi kwa simba diamond platnumz yule NASIBU ABDULI ACHANA NAYE...JUZI MWANZA HARMONIZE ALIPIGA NYIMBO MBILI TU WATU WAKAWA HAWAMUELEWI..MOND ALIKAAAA STEJINI MASAAA MANNE.JUMAPILI AKAENDA BURUNDI ALIKUWA SIMBA BIN LADEN PEKEEE YAKE YAAANI DIAMOND PLATNUMZ HIM SELUFU.ONA HUO UMATI....NARUDIA TENA MWENYE VIBE NA WATU NI MOND HAO WENGINE BILA MOND HATA BAR ZA MANZESE HAPA HAWAJAZI ANGALIA HIZI VIDEO PLUS PICHA...DIAMOND WANYOOOOOOSHE MPAKA MAJI WAYAITE MMMAAAAA
Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • Subpost 1 - THE QUEUE TO MY SHOW IN BUJUMBURA BURUNDI.....LORD HAVE MERCY!! I RE ( 264 X 480 ).mp4
    1.6 MB
A
Aah aah aah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…